Kinasemaje kitabu kitakatifu kuhusu Muhammad (s.a.w)?

Mwandishi :

Tafsiri:

Maelezo

Kitabu hiki kinaonyesha mjadala kati ya Ahmad Diydat na baadhi ya Maaskofu ambao wanafanya ujanja kwa kupinga na kukanusha Bishara ya Muhammad (s.a.w) katika kitabu kitakatifu, pamoja na kupindisha kwao kwa hakika kuna baadhi ya bishara ambazo haiwezekani kuwepo kwa mwengine zaidi ya Muhammad (s.a.w).

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi
Maoni yako muhimu kwetu