Siri za kuhujumu uislamu na mtume wa waislamu

Mwandishi :

Maelezo

Siri za kuhujumu uislamu na mtume wa waislamu:
katika ujumbe huu muhimu anabainisha mtunzi -Allah amuhifadhi- kuhusu vitendo vinavyo fanyika dhidi ya uislamu na nabii wa uislamu kwa upande wa makafiri, na alitaja mifano ya wagaidi dhidi ya uislamu na mtume (s.a.w), na daawa zao, na kubainisha makusudio yao miongoni mwa kazi zao hizi mbaya, na wajibu wa muislamu kuhusu kauli hizi na vitendo hivi vya chuki, mwisho kabisa kabainisha wenye vitendo hivyo ni mayahudi na washirika wao.

Download
Tuma maoni kuhusu ukurasa huu kwa msimamizi
Maoni yako muhimu kwetu