• PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Bangali, kaelezea mtunzi kuhusu Nidhamu ya upole katika Uislamu, kakusanya dalili kutoka takita Qur-ani na sunna, na kujibu utata unaoenezwa kuhusu Uislamu.

 • PDF

  Kitabu kwa lugha ya Bangali, kinaelezea kuhusu Uislamu, nayo ni dini aliyo ichaguwa Mwenyezi Mungu kwa wajawake, na akawatuma mitume na kuteremsha vitabu, na akajaalia dini hiyo ni yenye kwenda na wakati kwa kila zama hadi siku ya mwisho, nilazima kwa kila mtu kufuata dini hiyo, na haitokubaliwa dini nyingine kinyume na Uislamu, na fadhilazake ni nyingi sana huwezi kuzihesabu...

 • PDF

  Mambo yenye thamani katika mazuri ya Uislamu: kuelezea baadhi ya mema ya Uislamu, na umuhimu wa kuzungumzia mada hii.

 • PDF

  Maana fupi ya Uislam: Maana fupi ya dini ya Uislam na kubainisha kuenea kwake kwa nyanja zote pamoja na kubainisha umuhimu wa nguzo sita.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu