Utunzi wa kielimu

 • Bosnian

  PDF

  Kitabu hiki kimetafsiriwa kwa lugha ya Buznia, kinaelezea mada mbali mbali kuhusu Uislamu na waislamu, na kujuwa malengo ya kuwepo hapa duniani.

 • Bosnian

  PDF

  Kataja mtunzi wa kitabu hiki baadhi ya dalili ya kwamba Qur-an ni mujiza kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu na kujibu hoja za wale wapingaji na kwamba hakuna mgongano kati ya Uislamu na elimu sahihi.

 • Bosnian

  PDF

  Kitabu hiki kimekusanya kurasa 21, kwanjia za maswali na majibu kati ya Ahmad Didat na baadhi ya maaskofu ambao wanapinga ubashiri wa mtume Muhammad (s.a.w), katika vitabu vitakatifu, pamoja na kuondoa baadhi ya mambo lakini kuna mengine hakuna wakusifika nayo zaidi ya nabii Muhammad (s.a.w), na kitabu hiki nizawadi kwa kila muislamu na inafaa kuchapishwa na kutafsiriwa na kukigawa, kwakutafuta radhi za Allah.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu