• Kingereza

  PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Kingereza kikielezea maana fupi ya Dini ya Uislamu na kubainisha kuenea kwake kwa kila nyanja za uhai na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • Kingereza

  PDF

  Kitabu kwa lugha ya kingereza kinakusanya maelekezo kwanjia ya picha kwa ufupi namna ya kutekeleza ibada ya hijja na umra kwa dalili ndani ya Qur-ani na mwenendo sahihi wa nabii Muhammad (s.a.w).

 • Kingereza

  PDF

  Kitabu kwa lugha ya Kingereza kikielezea Maswali (40) kuhusu Uislamu, kutokana na utata kuhusu Uislamu.

 • Kingereza

  PDF

  Hii ni sehemu ya maneno yanataja baadhi ya mambo yaliyo pokelewa katika Injil kutokana na dalili za Ukweli na Utume wa Muhammad (s.a.w).

 • Kingereza

  PDF

  Mtume mtukufu katika mtazamo wa kimagharibi: upekuzi wa kielimu uliofanywa na wapekuzi wakimagharibi kuhusu Mtume Muhammad (s.a.w), kwa sifa zake na tabia zake na maendeleo yake na kutosheka kwetu ya kwamba kachaguliwa na kupewa wahyi na Mwenyezi Mungu Mtukufu na kwamba dini yake itashinda dini zote.

 • Kingereza

  PDF

  Amegundua Uislamu: Dalili kwa ufupi kuhusu Uislamu na mafundisho yake na kubainisha itikadi ya Uislamu, na kuubainisha Uislamu kwa ufupi, pia nasaha kwa Waislamu na wasiokuwa Waislamu, kwa kufuata njia za wema walio tangulia ktk Umma huu.

 • Kingereza

  PDF

  Muhammad (s.a.w) katika Taurati na Injil: Ujumbe umekusanya uthibitisho wa bishara ya Mussa na Issa (s.a.w) juu ya Unabii wa Muhammad (s.a.w) na kwamba jambo hilo lipo katika Taurati na Injil.

 • Kingereza

  PDF

  Maana ya Uislam: Maneno mafupi na yenye kueneo kuhusu maana ya dini ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake na mazuri yake na malengo yake, ni funguo kwa mwenye kutaka kufahamu Uislamu kwa usahihi.

 • Kingereza

  PDF

  Injil ndio ilio niongoza ktk Uislamu: kitabu Kitakatifu muhimu kinataja vipengele vya kumuashiria Nabii Muhammad (s.a.w), na kumzungumzia Nabii Mussa (s.a.w), na Nabii wa Mwisho. kisha kuonyesha ya kwamba Nabii aliyo ashiriwa ni Muhammad (s.a.w).

 • Kingereza

  PDF

  Huu ndio uhakika: Kitabu hiki kinazungumzia elimu ya kisasa kwa mtazamo wa Qur-ani Tukufu na Sunna sahihi.

 • Kingereza

  PDF

  Uislamu ndio chaguo letu: Kitabu hiki yatakiwa mazingatio kuhusu mafundisho ya Uislamu, na kuonyesha uhakika kutokana na tuhuma dhidi ya Uislamu kama ni Ugaidi na kuuchukia, na kwamba umemdhulumu Mwanamke na kumnyima haki zake.

 • Kingereza

  PDF

  Maana ya Uislam: Kitabu hiki chatakwa mazingatio kunamafundisho kuhusu Uislamu, na kufichua yanayo semwa sana na maaduwi dhidi ya Uislamu kama niugaidi na kuuchukia na kwamba umemdhulumu Mwanamke haukumpa haki zake na mengi zaidi miongoni mwa tuhuma dhidi ya Uislamu.

 • Kingereza

  PDF

  Muhammad (s.a.w) katika Injil: kitabu kabainisha muandishi ubashiri wa Injil kuhusu Muhammad (s.a.w).

 • Kingereza

  PDF

  Kitabu hiki kinawafaa wasiokuwa Waisilamu, kinatoa elimu kuhusu Uislamu na Waisilamu na baadhi ya Miujiza iliyo thibiti ktk Qur-ani na Sunna.

 • Kingereza

  PDF

  Grupu hili laelezea visa mbali mbali vya walioingia ktk Uislamu.

 • Kingereza

  PDF

  Uislamu nai dini ya Amani: Kinazungumzia kitabu hiki mada muhimu sana, nayo ni ufahamu halisi wa Uislamu kutokana na uadilifu katika jamii, na kupiga vita dhulma, ndiyo msingi wa kusimamisha amani katika nchi.

 • Kingereza

  PDF

  Ni nini Uislamu?: Kitabu hiki chawafaa wasiokuwa Waisilamu, kinatoa elimu kuhusu Uislamu na Waislamu na baadhi ya miujiza mbali mbali katika Qur-ani na Sunna.

 • Kingereza

  PDF

  Muongozo ktk kuujua Uislamu kwa lugha ya Kingereza kwanjia ya maswali na majibu kwa njia nzuri na yenye kukinaisha, maswali mbali mbali yanayo ulizwa sana na wasio kuwa waislamu.

 • Kingereza

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Kitabu hiki kinaelezea sherehe kwa kifupi kuhusu dini ya kiislamu, na kwamba ndio dini sahihi hato kubali Mwenyezi Mungu dini nyingine, kuelezea dini nyingine na vyanzo vyake na kubainisha ubatili wake. Uhakika wa Issa na Mama yake (s.a.w) Dini ya uislamu ni dini ya dunia na hikma yake na kuumbwa majini na binadamu.

 • Kingereza
Ukurasa : 2 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu