• PDF

  Kitabu kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Ispania kikielezea Haki za binadamu katika uislamu.

 • PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Ispania kikielezea kisa cha aliekuwa Padri namna alivyo upata uislamu, nakuwataka watu wengine wafikiria kwa Akili zao waache kusikiliza uongo wa watu dhidi ya Uislamu.

 • PDF

  Haki za binadamu katika uislamu: Kaelezea muandishi kwenye kitabu hiki kuhusu Haki za binadamu katika uislamu kwa mtazamo wa Qur-ani na Sunna.

 • PDF

  Katika Risala hii kuna maelezo kwa ufupi yanayo takiwa kufanyika kwa Hjji kipindi cha masiku ya Hijja kutokana na namna ya ibada ya Hijja, kwa njia nyepesi na kwampangilio.

 • PDF

  Utaingia vipi katika Uislamu?: Kitabu kinabainisha maana ya Uislamu, na kwamba Tauhidi ndio Dini ya Mitume, kinabainisha namna ya kuingia katika Uislamu, na kujibu utata kuhusu Uislamu, na mafunzo wa waislamu wageni kuhusu nguzo za Uislamu na Imani.

 • PDF

  Kitabu hiki kinaelezea Rai na fikra za wasomi wasiokua waisilamu kuhusu Uislamu, na sisi hatuna shida ya maneno yao kwa kuitetea dini hii, haki ipowazi hakuna shaka ndani yake, lakini maneno haya yanawasaidia watu juu ya kuufahamu Uislamu sahihi.

 • PDF

  Kitabu kwa njia ya picha kikielezea maana kwa ufupi ya Dini ya Uislamu.

 • PDF

  Kitabu hiki kina kurasa 21 nacho kipo katika mfumo wa mahojiano kati ya Ahmad diydat na baadhi ya Maaskofu ambao wanafanya ujanja wa kupinga na kukanusha bishara za Muhammad (s.a.w) katika vitabu vilivyo tangulia, pamoja na kupindisha kwa hakika zimetajwa baadhi ya bishara ambazo haiwezekani kusifiwa mwengine zaidi ya Muhammad (s.a.w).

 • PDF

  Uislamu ni dini ya amani: Kitabu hiki kinazungumzia mada muhimu sana, nayo ni kuufahamu Uislamu kutokana na uadilifu wake ktk jamii na kupambana na dhulma na ndio sababu kubwa ya kusimamisha Amani ktk jamii.

 • PDF

  Ni nini Uislamu?: Kitabu hiki chawafaa wasiyokuwa Waisilamu, kinaelezea Uislamu na Waisilamu, na baadhi ya mambo yaliyo thibitishwa na Qur-ani na Sunna.

 • PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Kitabu hiki kinawafaa wasio kuwa waislamu, kinatoa elimu ya msingi kuhusu Uislamu na Waislamu.

 • Uislamu ni... Spanish

  PDF

  Uislamu ni...: Kitabu muhimu sana kaelezea mtunzi maana ya Uislamu kwa ufupi, na kubainisha ya kwamba ndio dini sahihi, na ndio dini pekee ya kufuatwa.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu