• Malayalam

  PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Maliyalim, ni mkusanyiko wa walio silimu, anaelezea kila Mmoja kusilimu kwake, na kuelezea alivyo kuwa kabla ya kusilimu na alivyo kwa sasa baada ya kusilimu, na sababu ya kuingia kwao ktk Uislamu, kitabu muhimu sana kuwalingania wasiokuwa waisilamu, nilazima tusaidizane kusambaza kitabu hiki.

 • Malayalam

  PDF

  Kitabu hiki kinatuelewesha mambo yafaida mfano: Ni nani Mwanadamu, kaumbwa vipi, Qur-an imemsifu vipi, yatakiwa afanye nini katika uhai wake wa kidunia, vipi atafikia malengo yake ya milele katika maisha yake ya akhera.

 • Malayalam

  PDF

  Kitabu hiki kinafichuwa badhi ya ufahamu wa kimakosa kuhusu Uislamu na kusahihisha kwa njia ya kielimu na kwa misingi ya kisomi iliyo chukuliwa kutoka katika Qurani na sunna.

 • Malayalam

  PDF

  Miongoni mwa njia za kufikisha daawa ni kubainisha mazuri ya dini hii yanayo patikana hapa duniani na kesho akhera, mazuri ambayo wengi hawayajuwi hata wale waliyomo ndani ya Uislamu, na hili kwa mapenzi ya Allah ni sababu ya kuingia ktk uislamu ambae sio muislamu, na kushikamana na uislamu, Risala hii yabainisha mazuri hayo ya Uislamu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu