Utunzi wa kielimu

Misukosuko ya siku ya qiyama

katika nguzo za imani ambazo haikubaliwi imani yamtu bila ya kuamini siku ya mwisho, na Mwenyezi Mungu kaificha siku ya qiyama kwa hikma ya hali ya juu, lakini zimewekwa baadhi ya alama kwa kujulisha ukaribu wake na ili muislamu ajiandae na siku hiyo, na katika malafu haya kuna mada mbali mbali zinazo elezea mambo haya.

Idadi ya Vipengele: 3

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu