Utunzi wa kielimu

Kulingania katika njia ya Mwenyezi Mungu

Kurasa hii inaelezea badhi ya mada zinazo ambatana na ulinganiaji na walinganiaji, mfano: fikra za kidawa, njia za kulingania, matatizo katika kulingania, hukumu ya kulingania na fadhila zke, sifa za mlinganiaji, misingi na chimbuko la kulingania, historia ya kulingania, kuwalingania wasiokuwa waislamu, matatizo yanayo patikana katika njia ya kulingania.

Idadi ya Vipengele: 8

 • Kiswahili
  video-shot

  YOUTUBE

  Mada hii Inaelezea kuhusu mifano ya watu walio acha athari njema akiwemo Shekh Muhamad Omar Al Amudy aliye anzisha nidham ya kusoma shule na madrasa islamiya kwa wanafunzi.

 • Kiswahili

  MP3

  Anuwani ya mada hii ni: Da’awa ya haki inapiga vita makundi ya kisiasa, imeongelea pia aina za makundi na misingi ya da’awa ya kisnna.

 • Akani

  MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Akania, na ndani yake kuna ubainifu wa mtazamo wa Uislamu namna ya kuishi na wasiokuwa Waislamu.

 • German

  PDF

  Kurejea : Bilal Philips

  Kitabu hiki chaelezea badhi ya maswali kuhusu Uislamu na dini yao mengi wanauliza wasiyokuwa waislamu.

 • Bulgarian

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Kitabu hiki chawafaa wasiokuwa waislamu, kinawapa picha kuhusu uislamu na waislamu na baadhi ya mambo yaliyo thibitishwa na Qur-ani na sunna.

 • Kiarabu

  DOC

  Kuishi na wasiokuwa Waislamu katika jamii ya kiislamu: Risala hii yazungumzia namna za makafiri wanaoishi katika miji ya kiislamu, na hukumu zao, na haki zao na namna ya kutoa kodi na mengineyo.

 • Kiarabu

  PDF

  Njia ya kuelekea katika uislamu: Kitabu hiki kinakuongoza katika uzima wa milele, kinakuongoza katika Imani ya kumjua Mola wako alie kuumba, na kinakuongoza katika itikadi sahihi inayo kubaliana na akili yako na maumbile yako,utajua kupitia kitabu hiki mwanzo wa kuumbwa binadamu na mwisho wake, na hikima ya kuwepo kwake, na mengineyo. kitabu hiki kimeandaliwa kwaajili ya wasiokuwa waislamu, kwa maana hiyo utaona kipo kwa ufupi.

 • Kireno

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Kitabu hiki cha rangi kinawafaa wasiokuwa Waisilamu, kinatoa elimu kuhusu Uislam na Waisilamu na baadhi ya mambo ya ukweli ya kielimu yaliyo thibitishwa na Qur-an na Sunna.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu