Utunzi wa kielimu

تعريب عناوين المواد

Ubora wa kuunga udugu na kuwafanyia wema wazazi

Malafu ya kuwafanyia wema wazazi na kuunga udugu: kuwafanyia wema wazazi nikatika matendo bora bada ya kumuamini Mwenyezi Mungu Mtukufu, na katika sheria kuna aya na hadithi zinazo himiza hayo na ubora wake, na katika visa vya wema walio tangulia kuna mifano mingi sana ya kuwafanyia wema wazazi, katika kurasa hizi kuna mada zinazo onyesha daraja ya kuwafanyia wema wazazi na kuunga udugu.

Idadi ya Vipengele: 1

  • Amharic
    video-shot

    MP4

    Sehemu ya pili katika muhadhara wa video kwa lugha ya Amhari kwa anuani: Huu ndio uislamu, na katika muhadhara huu kazungumzia mlinganiaji namna uislamu ulivyo himiza tabia njema kama kuunga udugu, na kwamba hakuna mbora juu ya mwengine isipokuwa kumcha Mwenyezi Mungu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu