Utunzi wa kielimu

 • Maswali makubwa Kingereza

  MP3

  Muhadhara kwa lugha ya kingereza, anajibu maswali dk: Loranc Baruwani kuhusu maswali makubwa yanayo izunguka akili ya Kiumbe, maswali yenyewe ni: Nani ambae kaniumba? na kwa sababu gani mimi nipo hapa? na ninapo kuwa mtu mwema Jee hili halitoshi? na kwa nini haiwezekani kumuabudu Mungu kwa njia tunayo itaka wenyewe?.

 • MP3

  Kipindi kipya cha Sheikh Dhakir anawaelezea wazururaji wasiokuwa na malengo ktk uhai huu hawafahamu malengo ya kuwepo kwao, kwa sababu hiyo Sheikh anatoa njia sahihi ukiifuata itakuongoza ktk sehemu nzuri na kukuepusha na sehemu mbaya.

 • Maana ya uhai German

  MP3

  Mada ya sauti ikizungumzia yafuatayo: 1- makusudio katika uhai huu. 2-kwa nini kaumbwa binadamu. 3-vipi tutamjua Muumbaji.

 • MP3

  Muhadhara mzuri sana kautowa Sheikh Khalid Yassin akiwa Saudia mwaka 1994, walislimu watu 43 usiku uleule.

 • MP3

  Yatakiwa mtu ajiulize maswali mengi ktk kichwa chake: 1: kwa nini tupo hapa duniani? 2: tumekuja kufanya nini? 3: kabla ya kuwepo hapa tulikua wapi? ukijiuliza maswali haya utapata majibu ya sababu za kuwepo hapa duniani.

 • MP3

  Mhadhiri : Bilal Philips

  Makusudio katika uhai: ni kumuabudu Mwenyezi Mungu Mmoja tu na kuto mshirikisha katika ibada zake, na kufanya aliyo amrisha na kujiepusha na aliyo kataza.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu