Utunzi wa kielimu

 • PDF

  Muheshimiwa Mwanadamu... nakwambia kwa sababu wewe ni Mwanadamu... haijalishi ukiwa mkristo au yahudi... au budhi au majusi... au mwenye kuabudia sanamu au ambae hana dini... au mwenye dini... mwanamume au mwanamke... nakwambia kwa sababu wewe ni binadamu... Jee kuna siku hata moja uliwahi kujiuliza swali kamahili: kwa nini wewe ni Muumini... na kipi unacho kiamini... kwa nini umechagua dini uliyokuwa nayo?.

 • PDF

  Muhadhara mzuri sana kautowa Sheikh: Khalid Yasini Saudia 1994م ikapelekea watu (43) kuingia ktk Uislamu usiku uleule, ukafasiriwa kwa lugha ya Islandia.

 • Ni nani Mwanadamu? Malayalam

  PDF

  Kitabu hiki kinatuelewesha mambo yafaida mfano: Ni nani Mwanadamu, kaumbwa vipi, Qur-an imemsifu vipi, yatakiwa afanye nini katika uhai wake wa kidunia, vipi atafikia malengo yake ya milele katika maisha yake ya akhera.

 • PDF

  Muhadhara mzuri sana kautoa Sheikh: Khalid Yasin akiwa Saudi Arabia 1994. ikapelekea kusilimu watu 43 usiku uleule, na ukatafsiriwa kwa lugha ya Suwaidi.

 • PDF

  Malengo katika uhai huu: Yatakiwa binadamu ajitambuwe ya kwamba kaletwa hapa duniani na Mwenyezi Mungu lengo kubwa nikufanya Ibada...

 • PDF

  Uhai nikujitambua ya kwamba Umeumbwa na Mwenyezi Mungu kwa lengo la kufanya ibada tu.

 • PDF

  Muhadhara mzuri sana kautoa Sh: Khalid Yasini, Saudi arabia mwaka 1994م ikapelekea usiku uleule kusilimu watu (43), na umefanyiwa tarjama kwa lugha ya Itwalia.

 • PDF

  Ujumbe mfupi ukielezea Makusudio ktk uhai huu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu