Utunzi wa kielimu

Ubora wa Swala

Swala inaubora mkubwa sana na mwenye kuswali anakuwa na nuru katika usowake na rehma za Allah zinamshukia usiku na mchana, na swala ni moja katika nguzo tano za uislamu, swala ndio jambo la kwanza mja atahesabiwa siku ya qiyama.

Idadi ya Vipengele: 2

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu