Utunzi wa kielimu

  • Kiarabu

    PDF

    Sherehe ya maana ya uislamu: katika makala haya tunaelezea maana ya uislamu na nguzo zake kwa ufupi, uislamu ni dini iliyo ridhiwa na Mwenyezi Mungu ili ifuatwe na nguzo zake ni tano: 1- kukubali kwa moyo na kutamka kwa ulimi ya kwamba hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu pekeyake, na Muhammad (s.a.w), ni mja wake na mtume wake. 2- kusimamisha swala. 3- kutoa zakka. 4- kufunga mwezi mtukufu wa ramadhani. 5- kwenda hijjah kwa mwenye uwezo.

  • Kiarabu

    PDF

    Huu ndio Uislamu kwa ufupi: Maneno mafupi na yenye kuenea kuhusu maana ya Dini ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake, na mema yake na makusudio yake. kwa hakika ni funguo kwa mwenye kutaka kuufahamu Uislamu, au kuingia.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu