Utunzi wa kielimu

 • German

  LINK

  Kuna mada zifuatazo: 1: Ujumbe wa Uislamu ndiyo waliyo kujanao mitume wote. 2: Umuhimu wa Uislamu kuhusu dini nyingine. 3: Kuangalia mambo ya kiitikadi ktk Uislamu. 4: Kuangalia baadhi ya ibada na kubainisha nani Muislamu.

 • German

  PDF

  Huu ndio Uislamu kwa ufupi: Maneno mafupi yenye kueneo kuhusu maana ya Dini ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake, na mazuri yake na malengo yake, kwa hakika ni Ufunguo kwa mwenye kutaka kuujua Uislamu au kuingia.

 • German

  PDF

  Kurejea : Bilal Philips

  Kitabu hiki chaelezea badhi ya maswali kuhusu Uislamu na dini yao mengi wanauliza wasiyokuwa waislamu.

 • German

  PDF

  Maana ya Dini ya Uislam: Kitabu hiki kinamuongoza mwanadamu anaetaka kuifikia haki, kwa njia ya ufupi na nyepesi ya dini ya Uislamu.

 • German

  PDF

  Ni nini Uislamu?: Kitabu hiki kinawafaa wasiokuwa waislamu, kinawapa elimu na mada mbali mbali kuhusu uislamu na waislamu ili ujuwe makusudio ya kuwepo katika uhai huu.

 • German

  PDF

  Uislamu ni dini ya amani: kitabu hiki kimekusanya mada muhimu, nayo ni ufahamu wa uislamu kuhusu uadilifu wa kijamii na kupiga vita dhulma ili kusimamisha amani katika jamii nzima.

 • German

  PDF

  Mtiririko wa makala aina Nne zikibainisha Asili ya Uislamu na sheria nyingine za mbinguni, pamoja na kuweka wazi mchango wa Uislamu kuhusu dini nyingine na nguzo za Uislamu.

 • German

  MP3

 • German

  PDF

  Uislamu ni: Kitabu muhimu sana amekusanya mtunzi kwa ufupi maana ya Uislamu, na kubainisha ya kwamba ndio Dini sahihi, na ndio Dini pekee ya kufuatwa.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu