Utunzi wa kielimu

 • PDF

  Makala kwa lugha ya Kingereza inazungumzia nukta (30) kuhusu Uislamu ktk nyanja tofauti na kwanjia nyepesi mfano: Maana ya Uislamu, na Nguzo zake, na Vyanzo vyake, kisha kujibu baadhi ya Utata.

 • Uislamu ni... Kingereza

  MP3

  Mada ya Audio kwa lugha ya Kingereza ikielezea umuhimu wa Muiislamu kutafuta elimu, na kubainisha njia sahihi ya kutafuta elimu, na tabia ya mwenye kutafuta elimu ya kisheria, na yaliyo wajibu kwa Muislamu kujifundisha.

 • video-shot

  Maana ya Uislamu Kingereza

  MP4

  Kaelezea Sheikh kwenye muhadhara huu baadhi ya mambo ya msingi kuhusu Uislamu na Waislamu.

 • video-shot

  Ni nini Uislamu? Kingereza

  MP4

  Mhadhiri : Bilal Philips

  Maana ya Uislamu kwa ufupi na misingi yake na mema yake na hestoria yake tangu zama za Nabii Adam (s.a.w), hadi kwa Muhammad (s.a.w), Uislamu ni unyenyekevu na kutii yote aliyo kujanayo mtume kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

 • PDF

  Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Kingereza kikielezea maana fupi ya Dini ya Uislamu na kubainisha kuenea kwake kwa kila nyanja za uhai na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • video-shot

  MP4

  Kwenye Muhadhara huu kabainisha Sh: Khaled Yasin ya kwamba ni wajibu wetu kuwakinaisha watu kuhusu Uislamu kimatendo, na tusitosheki pekeyake kutoa dalili tu, yatakiwa mifano mbali mbali kama: Biashara ya Riba, kunywa pombe, sigara, madawa ya kulevya, kujitoa muhanga, Uislamu ni Dini yenye ufumbuzi wa yote hayo na matatizo ya maisha kwaujumla.

 • video-shot

  Maana ya uislamu Kingereza

  MP4

  Picha ya kuona kwa lugha ya kingereza, anabainisha mlinganiaji Yusuf Astes kwa kifupi maana na hakika ya uislamu mtukufu.

 • Misingi ya uislamu Kingereza

  DOC

  Kwaufupi ni kwamba hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu Mmoja tu, pamoja na sherehe kwa urefu katika kipengele cha kwanza kumuamini Mwenyezi Mungu.

 • Ni nini Uislamu? Kingereza

  DOC

  Inazungumzia makala hii ya kwa mba ujumbe rasmi katika Uislamu ndiyo ujumbe rasmi katika dini za mbinguni, na kwamba chimbuko ni moja.

 • video-shot

  MP4

  Anasherehesha Yusuf Estes miongoni mwa Uislamu ni Amani.

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara huu unawafaa wasiokuwa waisilamu, unatoa elimu ya msingi kuhusu Uislamu na Waisilamu.

 • MP3

  Unajuwa nini kuhusu Uislamu?: Maana kwa ufupi kuhusu Dini ya Uislamu na kubainisha kuenea kwake kwa nyanja zote za uhai, na kuhusu Itikadi na Mwenyezi Mungu na Qur-ani Tukufu na Nabii Muhammad (s.a.w).

 • video-shot

  Dini ya Uislamu Kingereza

  MP4

  Mada ya video kwa lugha ya Kingereza inaelezea kuhusu Dini ya Uislamu kwa ujumla na mafunzo yake na mema yake na kujibu baadhi ya utata kuhusu Uislamu kutoka kwa makafiri Mayahudi na Wakristo.

 • video-shot

  Ni nini Uislamu? Kingereza

  MP4

  Mada hii yatakiwa ionwe na waislamu kabla ya wengineo... ili wafahamu neema walionayo na waweze kujibu watapo ulizwa na yeyote, kwa sababu muislamu ni mlinganiaji.

 • video-shot

  Dini ya Uislamu Kingereza

  MP4

  Mhadhiri : Bilal Philips

  Muhadhara unaelezea Uislamu na daraja zake na matunda yake na mazuri yake na vitenguzi vyake.

 • Amegundua Uislamu Kingereza

  PDF

  Amegundua Uislamu: Dalili kwa ufupi kuhusu Uislamu na mafundisho yake na kubainisha itikadi ya Uislamu, na kuubainisha Uislamu kwa ufupi, pia nasaha kwa Waislamu na wasiokuwa Waislamu, kwa kufuata njia za wema walio tangulia ktk Umma huu.

 • Maana ya Uislam Kingereza

  PDF

  Maana ya Uislam: Maneno mafupi na yenye kueneo kuhusu maana ya dini ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake na mazuri yake na malengo yake, ni funguo kwa mwenye kutaka kufahamu Uislamu kwa usahihi.

 • Huu ndio uhakika Kingereza

  PDF

  Huu ndio uhakika: Kitabu hiki kinazungumzia elimu ya kisasa kwa mtazamo wa Qur-ani Tukufu na Sunna sahihi.

 • video-shot

  MP4

  Maana ya Uislam kwa wasiokuwa Waisilamu: Muhadhara huu unawafaa wasiokuwa waisilamu, unatoa elimu ya msingi kuhusu Uislamu na Waisilamu.

 • PDF

  Uislamu ndio chaguo letu: Kitabu hiki yatakiwa mazingatio kuhusu mafundisho ya Uislamu, na kuonyesha uhakika kutokana na tuhuma dhidi ya Uislamu kama ni Ugaidi na kuuchukia, na kwamba umemdhulumu Mwanamke na kumnyima haki zake.

Ukurasa : 3 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu