Utunzi wa kielimu

 • Kingereza

  PDF

  Uislamu nai dini ya Amani: Kinazungumzia kitabu hiki mada muhimu sana, nayo ni ufahamu halisi wa Uislamu kutokana na uadilifu katika jamii, na kupiga vita dhulma, ndiyo msingi wa kusimamisha amani katika nchi.

 • Kingereza
  video-shot

  MP4

  Njia nzuri sana ya kubainisha Uislamu kwa Wakristo kwa njia ya mdahalo kumuelezea Mungu upande wa wakristo. yote haya yanatimia kwa njia ya upole na kwaadabu.

 • Kingereza

  PDF

  Huu ndio Uislamu kwa ufupi: Maneno machache yenye kuenea kuhusu maana ya dini ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake na mazuri yake na malengo yake. kwa hakika niufunguo kwa mwenye kutaka kufahamu Una kuingia ktk islamu.

 • Kingereza

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Risala fupi inayo bainisha ufahamu halisi wa Uislamu na daraja zake na matunda yake na mema yake na vitenguzi vyake.

 • Kingereza

  PDF

  Ni nini Uislamu?: Kitabu hiki chawafaa wasiokuwa Waisilamu, kinatoa elimu kuhusu Uislamu na Waislamu na baadhi ya miujiza mbali mbali katika Qur-ani na Sunna.

 • Kingereza

  PDF

  Muongozo ktk kuujua Uislamu kwa lugha ya Kingereza kwanjia ya maswali na majibu kwa njia nzuri na yenye kukinaisha, maswali mbali mbali yanayo ulizwa sana na wasio kuwa waislamu.

 • Kingereza

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Kitabu hiki kinaelezea sherehe kwa kifupi kuhusu dini ya kiislamu, na kwamba ndio dini sahihi hato kubali Mwenyezi Mungu dini nyingine, kuelezea dini nyingine na vyanzo vyake na kubainisha ubatili wake. Uhakika wa Issa na Mama yake (s.a.w) Dini ya uislamu ni dini ya dunia na hikma yake na kuumbwa majini na binadamu.

 • Kingereza

  PDF

  Uislamu ni unyenyekevu na kutii yaleyote aliyo kujanayo Mtume Muhammad (s.a.w).

 • Kingereza

  PDF

  Kurejea : Bilal Philips

  Uislamu ni dini ya maumbile: Uislamu ni usafi yatakiwa mtu akate kucha, kupunguza masharubu, kuacha ndevu, kuondoa nywele za kwapa, kunyoa sehemu ya siri, kupiga mswaki, kitumia manukato, kukata sunna, nk...

 • Kingereza

  MP3

  Jee Uislamu ni Dini kimataifa? Ndio Uislamu ni Dini ya Kimataifa...

 • Kingereza

  MP3

  Niyepi yanayopasa uyajuwe kuhusu Uislamu?

 • Kingereza

  MP3

  Uislamu maana yake ni: Kujisalimisha na kutii na kufuata na kunyenyekea yale yote aliyo kujanayo Mtume Muhammad (s.a.w).

 • Kingereza

  MP3

  Mhadhiri : Bilal Philips

 • Kingereza

  MP3

  Sherehe ya itikadi za Uislamu

 • Kingereza

  MP3

  Muhadhara huu waelezea kuhusu Uislamu na namna ulivyo anza.

 • Kingereza

  LINK

  Uislamu ni: Kitabu kizuri sana kaelezea mtunzi kwa ufupi maana ya Uislamu, na kuelezea ya kwamba ndiyo dini sahihi, na dini pekee inayofaa kufuata.

Maoni yako muhimu kwetu