Utunzi wa kielimu

 • Spanish

  PDF

  Makala kwa lugha ya Espania inaelezea kwamba ujumbe rasmi ktk Uislamu ni ujumbe ule ule wamsingi ktk Dini za mbinguni kwa sababu wanaozaliwa huzaliwa ktk Uislamu, na kuangalia baadhi yanayo itakidiwa ktk Uislamu.

 • Spanish

  PDF

  Makala kwa lugha ya Ispania inazungumzia utangulizi kwa ufupi kuhusu maana ya Uislamu, na kumfahamu Mwenyezi Mungu katika Uislamu.

 • Spanish

  MP4

  Muhadhara maalumu ktk kuelezea maana ya Uislamu kwa wasiokuwa Waisilamu.

 • Spanish

  PDF

  Kitabu kwa njia ya picha kikielezea maana kwa ufupi ya Dini ya Uislamu.

 • Spanish

  PDF

  Makala kutoka kwenye Taasisi ya (WAMY) Ikielezea maana ya Dini ya Uislamu.

 • Spanish

  PDF

  Ni nini Uislamu?: Kitabu hiki chawafaa wasiyokuwa Waisilamu, kinaelezea Uislamu na Waisilamu, na baadhi ya mambo yaliyo thibitishwa na Qur-ani na Sunna.

 • Spanish

  MP3

  Kitabu hiki kinasherehesha Dini ya Uislamu kwa ufupi.

 • Spanish

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Kitabu hiki kinawafaa wasio kuwa waislamu, kinatoa elimu ya msingi kuhusu Uislamu na Waislamu.

 • Spanish

  PDF

  Maana fupi ya Uislam:Maana fupi ya dini ya Uislam na kubainisha ueneaji wake ktk nyanja zote za maisha, na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • Spanish

  MP4

  Maana kwa ufupi kuhusu Dini ya Uislamu. Uislamu ni Dini ya Amani.

 • Spanish

  PDF

  Uislamu ni...: Kitabu muhimu sana kaelezea mtunzi maana ya Uislamu kwa ufupi, na kubainisha ya kwamba ndio dini sahihi, na ndio dini pekee ya kufuatwa.

 • Spanish

  PDF

  Makala kwa lugha ya Espania ikielezea ya kwamba Hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu Mmoja tu, na kwamba huu ndio misingi wa Uislamu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu