Utunzi wa kielimu

 • Kiholanzi

  PDF

  Makala kwa lugha ya Holande anabainisha mtunzi wake ya kwamba Uislamu ni dini isiyo kwenda kinyume na maumbile wala akili.

 • Kiholanzi

  PDF

  Makala imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Holande ikielezea ndondoo kuhusu huruma katika Uislamu na uadilifu wake baina ya watu bila ya ubaguzi wa rangi wala kabila.

 • Kiholanzi

  PDF

  Maana ya Uislam kwa ufupi: Maana ya Dini ya Uislam kwa ufupi na kubainisha kuenea kwake kwa kila nyanja katika nyanja za uhai, na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • Kiholanzi

  PDF

  Kitabu kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Holande kinazungumzia Maana ya Uislamu kutokana na uadilifu ktk jamii na kupiga vita dhulma, na ndio nsingi wa kusimamisha Amani ktk jamii na kwenye nchi.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu