Utunzi wa kielimu

 • RUSIA

  PDF

  Kitabu kimefanyiwa tarjama kwa lugha ya Urusi, kinazungumzia kuhusu dini ya uislamu na ubora wake, kinawafaa waisilamu na ambao sio waisilamu, Mtunzi kajibu maswali yanayoenea sana, mfano: kwa nini Allah katuumba? Mitume niwakina nani, na zipi kazi zao? Muhammad niyupi na utamjuaje? ni sifa gani yatakiwa awenazo muislamu? waisilamu wametanguliza nini ktk kuhifadhi dini yao? namengine tofauti na hayo.

 • RUSIA
  video-shot

  MP4

  Video inaelezea jibu la swali: Jee Uislamu ni Dini mpya au ni dini ya Mitume wote?

 • RUSIA

  MP3

  Mzunguko huu waelezea maana ya Uislamu, na kuondoa utata kuhusu Uislamu, Mada imetolewa na sh: Abu Omar Zahrani.

 • RUSIA

  Uislamu nikujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu na kunyenyekea kwake kwa kufanya yaliyo mazuri na kujiepusha na yaliyo mabaya.

 • RUSIA

  PDF

  Ni nini Uislamu?: Kitabu hiki chawafaa wasiokuwa waisilamu, kinatoa elimu kuhusu Uislamu na waisilamu na baadhi ya mambo ya kweli yaliyo thibitishwa na Qur-an na Sunna.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu