Utunzi wa kielimu

 • Kiswahili
  video-shot

  YOUTUBE

  Mada hizi zinaongelea maswali muhimu katika maisha ya muislam kwa njia ya maandishi.

 • Kiswahili

  MP3

  1- Mada hii inazungumzia: Sheria aliyokuja nayo Mtume (s.a.w) na kwamba ndiyo iliyokuja kufuta sheria za nyuma, na kwamba nisheria inayo simamia haki zote, pia inazungumzia umuhimu wa kuamrisha mema na kukataza mabaya. 2- Mada hii inazungumzia: Faida na muhimu wa mahakama ya Qadhi na kwamba sheria ya kiislam inajulikana duniani, pia imezungumzia waislam kuwa na tahadhari kutokana na maadui wa uislam. 3- Mada hii inazungumzia: Uislam siyo dini ya daraja la pili na kwamba imefika wakati waislam tubadilike na tuishike dini yetu, pia tuhamasishane katika dini na ucha Mungu tuache hamasa zisizo na faida katika dini yetu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu