Utunzi wa kielimu

  • German

    PDF

    Hapana shaka yoyote juu ya historia ya swahaba mtukufu Salmani Al-farisy (r.a), kwa mazingatio yaliyomo, kwa sababu katika uhai wake kapata misukosuko sana na tabu kubwa, hadi kufikiwa kunasibishwa na familia ya Mtume (s.a.w), japo yeye ni kutokea Farisy, baada ya kutafuta haki kwa muda mrefu na tabu nzito mwisho kabisa kapata utamu wa kuingia katika hii dini.

  • German

    PDF

    Makala imetafsiriwa kwa lugha ya Almania inaweka wazi Kisa cha kuslimu Swahaba mtukufu Abdallah bin Salam (r.a), baada ya kuwa kiongozi wa Kiyahudi kwa hakika Taurati imempeleka katika Uislamu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu