Utunzi wa kielimu

 • MP3

  Mada hii inazungumzia: Uislamu aliokuja nao Mtume wetu Muhammad (s.a.w) na namna alivyolingania watu katika uislamu na huruma kwa umma wake, na uislam haikuja kwa upanga.

 • UBORA WA UISLAMU Kiswahili

  PDF

  Kitabu hiki kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili, kinazungumzia: Maana ya uislamu, ubora wa uislamu na uwajibu wa kuingia katika uislamu.

 • video-shot

  Ubora wa Uislamu-3 Kifaransa

  MP4

  Muhadhara kwa lugha ya kifaranca, nao ni wa tatu katika mtiririko wa mihadhara ilio tafsiriwa kuonyesha ubora wa Uislamu, ameutowa Sheikh: Khalid bin Abdurrahman Shaiya kando kando ya mji wa paris.

 • video-shot

  Ubora wa Uislamu-2 Kifaransa

  MP4

  Muhadhara kwa lugha ya kifaranca, nao ni wa pili katika mtiririko wa mihadhara ilio tafsiriwa kuonyesha ubora wa Uislamu, ameutowa Sheikh: Khalid bin Abdurrahman Shaiya kando kando ya mji wa paris.

 • video-shot

  Ubora wa Uislamu-1 Kifaransa

  MP4

  Muhadhara kwa lugha ya kifaranca, nao ni wa kwanza katika mtiririko wa mihadhara ilio tafsiriwa kuonyesha ubora wa Uislamu, ameutowa Sheikh: Khalid bin Abdurrahman Shaiya kando kando ya mji wa paris.

 • PDF

  Makala iliyo tafsiriwa kwa lugha ya Ispania ikielezea Ubora wa kuingia ktk Uislamu. hakuna neema kubwa kuliko neema ya kuwa Muislamu au kuingia katika Uislamu, kwa sababu ndio dini peke aliyo iridhia Mwenyezi Mungu Mtukufu.

 • MP3

  Sherehe ya ubora wa Uislamu cha Sheikh Muhammad ibn Abdulwahab (r.h) kitabu hiki chazungumzia ubora wa uislamu na maana yake na yanayo faa na yasio faa na kuelezea mambo ya bidaa na umuhimu wa kuifuata sunna na mengi tofauti na hayo.

 • MP3

  Amesema Sheikh Swaleh bin Abdul-aziz Allah amlipe kheri, kuhusu risala inayo zungumzia ubora wa Uislam kitabu cha Sheikh Muhammad bin Abdulwahab (r.h), kitabu hiki muhimu sana katika vitabu alivyo andika sheikh, kinaelezea ubora wa uislamu, utukufu wake, namna ya kulingania,na kuelezea yanayofaa na yasiyofaa katika dini nk...

 • MP3

  Muhadhara: Neema ya uislamu: miongoni mwa mihadhara ilio fanyika katika muskiti mkubwa riyadh nakusajiliwa na kusambazwa sheikh Saidi bin wahfi qahtwany.. muhadhara huu wazunguukia kuhusu neema kubwa aliopewa muumini na Mwenyezi Mungu nayo ni neema ya uislamu na namna ya kuishukuru neema hii.

 • video-shot

  Ubora wa Uislamu Azerbaijani

  MP4

  Uislamu ni dini bora kuliko dini zote duniani, uislamu unayo matendo bora kuliko dini zote duniani,

 • MP3

  Ubora wa Uislamu: Risala iliyo andikwa na Sheikh Muhammad bin Abdulwahab (r.h), anasema Sheikh: Swaleh bin Abdul-aziz (h.f), ni katika risala muhimu sana alizo andika sheikh zinazo elezea umuhimu wa Uislamu na fadhila zake na maana yake na akaelezea uzushi na ubaya wake katika dini nk...

 • PDF

  Kukumbusha neema ya uislamu: katika khutba hii sheikh Allah amuhifadhi amekumbusha neema ya Mwenyezi Mungu juu ya waja wake, na neema kubwa ni neema ya uislamu, niwajibu kumshukuru Allah na kushikamana nayo na kumuiga nabii Muhammad (s.a.w), hakika walio tangulia hawakukubali dini nyingine zaidi ya uislamu, kisha sheikh akataja mifano ya badhi ya maswahaba walio adhibiwa katika njia ya Allah ili warejee katika ukafiri lakini hawakukubali.

 • MP3

  Ubora wa Uislamu na upole wake: Muhadhara mzuri umebainisha ndani yake Ubora wa dini ya Uislamu, na akabainisha pia sehemu ya upole wa sheria ya kiislamu.

 • Ubora wa Uislamu Kingereza

  MP3

  Mhadhiri : Bilal Philips

  Ubora wa Uislamu ni mkubwa sana hatuwezi kuuzungumzia na kuumaliza Uislamu unaleta amani, heshima, unahimiza kuwaheshimu wazazi, wa kubwa, kuwahurumia wadogo, unahimiza kusoma, kufanya kazi, nk...

 • PDF

  Ubora wa Uislamu: kasema sheikh Swaleh bin Abdul-aziz Ali-sheikh Allah amuhifadhi: kitabu hiki ni katika vitabu muhimu sana alivyo andika sheikh Muhammad bin Abdul-wahab (r.h), akakipanga jina la ubora wa uislamu, kwa sababu kinazungumzia yanayo faa ndani ya uislamu na yasiyo faa na kubainisha namna wema walio tangulia namna walivyo kua, nakuelezea ubora wa uislamu na maana yake na mambo ya bida.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu