Utunzi wa kielimu

 • Kiswahili

  MP3

  Mada hii inaelezea namna jamii ilivyo vurugika na uislam ndio dini pekee ya kuweza kubadisha maadili.

 • Kiarabu

  MP3

  Kwa hakika kila mwenye roho anataka maisha bora na kujitahidi ayapata, tofauti ni namna ya kuyafikia hayo maisha , na Mwenyezi Mungu kabainisha ktk kitabu chake kitukufu ni nuru kwa mwenye kutaka nuru hiyo, amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: (Enyi mlio amini! Muitikieni Mwenyezi Mungu na Mtume anapo kuitieni jambo la kukupeni uzima wa milele. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu huingia kati ya mtu na moyo wake, na kwamba hakika kwake Yeye tu mtakusanywa). (Al-Anfaal: 24).

 • Kiarabu

  DOC

  Kitabu asili yake ni muhadhara alio utoa sheikh Muhammad Amin bin Muhammad Almuhtar Ash-shanqitwi (r.h), katika muskiti wa Mtume (s.a.w), kaelezea mambo kumi yanayo zunguka dini: 1-Tauhidi. 2-Mawaidha. 3-Tofauti ya matendo mema na mengineyo. 4-Kuhukumu kinyume na sheria ya Mungu. 5-Hali ya kijamii. 6-Uchumi. 7-Siasa. 8-Gogoro la makafiri kuwatawala waislamu. 9-Tatizo la udhaifu wa waislamu na uchache wa maandalizi dhidi ya maaduwi wao. 10-Gogoro la kutofautiana nyoyo katika jamii.

 • Spanish

  PDF

  Makala kwa lugha ya Ispania ikielezea Kuenea kwa Uislamu, na kwamba unafaa na zama zozote na wakati wowote.

 • German

  PDF

  Kuenea kwa Uislamu: Katika makala hii kuna ubainifu wa Kuenea kwa Uislamu ktk kila nyanja za uhai, na Nabii wa mwisho ni Mtume Muhammad (s.a.w), na Uislamu unafanya kazi kwa kila zama na kila wakati.

 • Bosnian

  MP3

  Ubainifu wa Kuenea kwa Uislamu, na kwamba ndio katiba ya viumbe kwa kila zama na kila sehemu.

 • Kingereza

  MP3

  Jee Uislamu ni Dini kimataifa? Ndio Uislamu ni Dini ya Kimataifa...

 • Kiholanzi

  PDF

  Makala kwa lugha ya Holande inazungumzia maana na makusudio ya Uhai ktk Uislamu.

 • Kifurusi

  MP3

  Muhadhara kwa lugha ya Kifaris, ukibainisha ukamilifu wa sheria ya Uislamu.

 • Kingereza

  PDF

  Makala kwa kingereza ikizungumzia maana sahihi ya ubaguzi ktk Uislamu.

 • Kingereza

  MP3

  Amani na kuenea Uislamu: Baadhi ya watu wanadhani ya kwamba Uislamu umeenea kwa upanga, mambo ambayo sio sahihi kabisa, Uislamu umeenea kwa amani na tabia njema zilizopo katika Uislamu.

 • Kiswahili

  MP4

  Mhadhiri : Juma Amir Kurejea : Abubakari Shabani Rukonkwa

  Mada hii inazungumzia uhusiano wa africa na uislam,na watu wakwanza walio leta uislam africa mashariki,na ukarimu wa watu wa afrika mashariki.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu