Utunzi wa kielimu

 • Kiswahili
  video-shot

  MP4

  Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa malezi ya kiislamu katika jamii, pia imezungumzia, lengo la kuumbwa kwa mwanadam na kuletwa duniani.

 • Kiswahili
  video-shot

  MP4

  Mada hii inazunguzia: Matunda ya malezi bora, pia imezungumzia kisa cha Sayyid Bin Museyyib alipokataa posa ya Abdul Maliki Bin Marwani kwa binti yake.

 • Kiswahili

  MP3

  1-Mada hii inazungumzia:Faida ya malezi mema, na amezungumzia kuwa Allah ndio mwenye kutowa watoto, na amezungumzia misingi ya kupata mototo mwema ikiwemo kuchaguwa mke mwema,na Haki za mtoto baada ya kuzaliwa. 2-Mada hii inazungumzia: Ubora wa kuwasomesha Quraan, na Uhatari wa kutowasomesha watoto dini matokeo yake watoto wanakua hali ya kuwa hawajui yaliyo ya halali wala ya haram mpaka katika ndoa zao. 3-Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa elimu ya dini na Makosa ya wanawake wakati wa nifasi, na mtume kumtuma Muadhi kwenda Yemen ni mfano mwema wa malezi bora. 4-Mada hii inazungumzia: Kuenea kwa dhulma sababu kubwa ni kukosekana malezi mema, pia imezungumzia hatari ya kuvuta sigara na ulevi wa pombe. 5-Mada hii inazungumzia: Njia nne za kumfanya mtoto kuwa mwema, pia imezungumzia maadili na faida alizotufundisha Mtume (S.a.w)

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu