Utunzi wa kielimu

 • Kingereza

  PDF

  Hii ni sehemu ya maneno yanataja baadhi ya mambo yaliyo pokelewa katika Injil kutokana na dalili za Ukweli na Utume wa Muhammad (s.a.w).

 • Hungarian

  PDF

  Kitabu hiki kinaelezea mjadala kati ya Ahmad Diydat na baadhi ya Maaskofu ambao wanafanya ujanja na kukanusha na kupinga Bishara za Muhammad (s.a.w) katika kitabu kitakatifu, pamoja na kupindisha kwao kuna baadhi ya bishara ambazo haiwezekani kupatikana kwa mwengine zaidi ya Muhammad (s.a.w), na kitabu hiki ni zawadi kwa kila Muislamu na kinastahiki kuchapishwa na kutafsiriwa na kusambazwa, kwaajili ya kutafuta Radhi za Mwenyezi Mungu na kujua zaidi uhakika na kusambaza.

 • Kingereza

  PDF

  Mtume mtukufu katika mtazamo wa kimagharibi: upekuzi wa kielimu uliofanywa na wapekuzi wakimagharibi kuhusu Mtume Muhammad (s.a.w), kwa sifa zake na tabia zake na maendeleo yake na kutosheka kwetu ya kwamba kachaguliwa na kupewa wahyi na Mwenyezi Mungu Mtukufu na kwamba dini yake itashinda dini zote.

 • Kifilpino(tagalogo)

  PDF

  Muhammad (s.a.w), katika Taurati na Injil: Inakusanya Risala hii kuhusu dalili mbali mbali na alama za nabii Muhammad (s.a.w), katika Injil.

 • Kingereza

  PDF

  Muhammad (s.a.w) katika Taurati na Injil: Ujumbe umekusanya uthibitisho wa bishara ya Mussa na Issa (s.a.w) juu ya Unabii wa Muhammad (s.a.w) na kwamba jambo hilo lipo katika Taurati na Injil.

 • Tajik

  PDF

  Kitabu hiki kinaonyesha mjadala kati ya Ahmad Diydat na baadhi ya Maaskofu ambao wanafanya ujanja kwa kupinga na kukanusha Bishara ya Muhammad (s.a.w) katika kitabu kitakatifu, pamoja na kupindisha kwao kwa hakika kuna baadhi ya bishara ambazo haiwezekani kuwepo kwa mwengine zaidi ya Muhammad (s.a.w).

 • Kingereza

  PDF

  Muhammad (s.a.w) katika Injil: kitabu kabainisha muandishi ubashiri wa Injil kuhusu Muhammad (s.a.w).

 • Kiholanzi

  PDF

  Mtue Muhammad (s.a.w) katika Injil

 • Spanish

  PDF

  Kitabu hiki kina kurasa 21 nacho kipo katika mfumo wa mahojiano kati ya Ahmad diydat na baadhi ya Maaskofu ambao wanafanya ujanja wa kupinga na kukanusha bishara za Muhammad (s.a.w) katika vitabu vilivyo tangulia, pamoja na kupindisha kwa hakika zimetajwa baadhi ya bishara ambazo haiwezekani kusifiwa mwengine zaidi ya Muhammad (s.a.w).

 • Terugu

  PDF

  Katika kitabu hiki: Baadhi ya ufahamu wa kimakosa kuhusu Muhammad na Issa (s.a.w) katika Qur-ani na Injil- kuwalingania wakristo katika Uislamu. Jee Muislam humpenda Issa (s.a.w)?

 • Kifaransa

  DOC

  Anasema Mwenyezi Mungu Mkarim: (Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu,ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kuwabashiria kwa Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio wazi!). Aswaaf: (6) na Nabii Muhammad (s.a.w), ndie Nabii pekee ambae katumwa baada ya Nabii Isa (s.a.w), na wala hawakiri wakristo ya kwamba yupo Nabii aliekuja baada ya Nabii Isa (s.a.w), na sisi kwa hili tunathibitisha ya kwamba Isa na Mussa (s.a.w), walimbashiri Nabii Muhammad (s.a.w), atakuja baada yao, na patakuwa vilevile dalili miongoni mwa dalili za kitabu kitakatifu kama kilivyo bainisha kitabu hiki kitukufu ambacho chafaa kuwa muongozo kwa kila Mkristo na Myahudi...

 • Kingereza
 • Bosnian

  PDF

  Kitabu hiki kimekusanya kurasa 21, kwanjia za maswali na majibu kati ya Ahmad Didat na baadhi ya maaskofu ambao wanapinga ubashiri wa mtume Muhammad (s.a.w), katika vitabu vitakatifu, pamoja na kuondoa baadhi ya mambo lakini kuna mengine hakuna wakusifika nayo zaidi ya nabii Muhammad (s.a.w), na kitabu hiki nizawadi kwa kila muislamu na inafaa kuchapishwa na kutafsiriwa na kukigawa, kwakutafuta radhi za Allah.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu