Utunzi wa kielimu

 • PDF

  Swali kajibu Sheikh Muhammad Swaleh Al-Munajjid -Mungu amuhifadhi- lilivyo: (Nakuomba unifahamishe sehemu gani katajwa Nabii Muhammad (s.a.w) katika Injil? na jee limetajwa jina lake au niishara tu? na nizipi rejea ambazo naweza zitumia kuthibitisha mambo haya? na jee hao waandishi na wenye kufanya tarjama kwa Wakristo wamebadili hilo?).

 • PDF

  Mtue Muhammad (s.a.w) katika Injil

 • PDF

  Maneno mafupi yanabainisha manene yawasio kuwa Waislam kuhusu Mtume wetu Muhammad (s.a.w).

 • PDF

  Kitabu hiki kina kurasa 21 nacho kipo katika mfumo wa mahojiano kati ya Ahmad diydat na baadhi ya Maaskofu ambao wanafanya ujanja wa kupinga na kukanusha bishara za Muhammad (s.a.w) katika vitabu vilivyo tangulia, pamoja na kupindisha kwa hakika zimetajwa baadhi ya bishara ambazo haiwezekani kusifiwa mwengine zaidi ya Muhammad (s.a.w).

 • video-shot

  MP4

  Mada ikielezea kuhusu Mtume wa Rehma kwenye picha na kukiri hawaa: Michael Hart, George Bernard Shaw, Mahatma Gandhi, Gustave Le Bon, Leo Tolstoy and Wolfgang Goethe.

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara huu umetolewa na kubainishwa ya kwamba nabii Muhammad (s.a.w), umekuja utajo wake na jina lake na sifa yake katika Injil.

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara huu umetolewa na kubainishwa ya kwamba nabii Muhammad (s.a.w), umekuja utajo wake na jina lake na sifa yake katika Injil.

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara huu umetolewa na kubainishwa ya kwamba nabii Muhammad (s.a.w), umekuja utajo wake na jina lake na sifa yake katika Injil.

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara huu umetolewa na kubainishwa ya kwamba nabii Muhammad (s.a.w), umekuja utajo wake na jina lake na sifa yake katika Injil.

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara huu umetolewa kwa kubainisha ya kwamba nibii Muhammad (s.a.w), umekuja utajo wake na jina lake na sifa zake katika Injil.

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara huu umetolewa na kubainisha ya kwamba nabii Muhammad (sa.w), umekuja utajowake na jina lake na sifa yake katika Injil.

 • video-shot

  MP4

  Muhadhara huu umetolewa na kubainishwa ya kwamba nabii Muhammad (s.a.w), umekuja utajo wake na jina lake na sifa yake katika Injil.

 • PDF

  Vipeperushi kuhusu Uwepo na bishara za Muhammad (s.a.w) katika Injil.

 • PDF

  Katika kitabu hiki: Baadhi ya ufahamu wa kimakosa kuhusu Muhammad na Issa (s.a.w) katika Qur-ani na Injil- kuwalingania wakristo katika Uislamu. Jee Muislam humpenda Issa (s.a.w)?

 • PDF

  Makala haya ni ufupi wa kitabu: (Inasemaje Injil kuhusu Muhammad (s.a.w))? sheikh Ahmad Didat (r.h), na mada ya kitabu ni bishara ya utume wa Muhammad (s.a.w), katika Injil.

 • DOC

  Anasema Mwenyezi Mungu Mkarim: (Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu,ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kuwabashiria kwa Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio wazi!). Aswaaf: (6) na Nabii Muhammad (s.a.w), ndie Nabii pekee ambae katumwa baada ya Nabii Isa (s.a.w), na wala hawakiri wakristo ya kwamba yupo Nabii aliekuja baada ya Nabii Isa (s.a.w), na sisi kwa hili tunathibitisha ya kwamba Isa na Mussa (s.a.w), walimbashiri Nabii Muhammad (s.a.w), atakuja baada yao, na patakuwa vilevile dalili miongoni mwa dalili za kitabu kitakatifu kama kilivyo bainisha kitabu hiki kitukufu ambacho chafaa kuwa muongozo kwa kila Mkristo na Myahudi...

 • PDF

  Haya ni maneno kwa ufupi kutoka katika kitabu " Muhammad katika Turati na Injil" cha Sheikh Ahmad Diydat (r.h) na malengo ya kitabu ni kuonyesha Ubashiri wa Utume wa Muhammad (s.a.w) katika vitabu vilivyo toka mbinguni (Taurati na Injil).

 • PDF

 • PDF

  Kitabu hiki kimekusanya kurasa 21, kwanjia za maswali na majibu kati ya Ahmad Didat na baadhi ya maaskofu ambao wanapinga ubashiri wa mtume Muhammad (s.a.w), katika vitabu vitakatifu, pamoja na kuondoa baadhi ya mambo lakini kuna mengine hakuna wakusifika nayo zaidi ya nabii Muhammad (s.a.w), na kitabu hiki nizawadi kwa kila muislamu na inafaa kuchapishwa na kutafsiriwa na kukigawa, kwakutafuta radhi za Allah.

Maoni yako muhimu kwetu