Jee Nabii Muhammad (s.a.w) katajwa katika Injil?

Maelezo

Swali kajibu Sheikh Muhammad Swaleh Al-Munajjid -Mungu amuhifadhi- lilivyo:
(Nakuomba unifahamishe sehemu gani katajwa Nabii Muhammad (s.a.w) katika Injil? na jee limetajwa jina lake au niishara tu? na nizipi rejea ambazo naweza zitumia kuthibitisha mambo haya? na jee hao waandishi na wenye kufanya tarjama kwa Wakristo wamebadili hilo?).

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu