• Dini ni nyepesi Indonesian

    Makala nzuri sana kwa lugha ya Indonesia kaelezea muandishi ya kwamba hakika Dini ni nyepesi, na kwamba yeyote atakae fanya uzito kwenye dini hii itamshinda mwenyewe, mafundisho ya dini ya Uislamu asiliyake ni mepesi mno.

  • Maana fupi ya Uislamu: Kubainisha uhakika na ukamilifu wa Dini ya Uislamu kwa njia ya ufupi, malengo ya sheria, nguzo za Imani, za Uislamu, pia aliyo ya halalisha Allah na aliyo ya haramisha ndani ya Dini hii tukufu.

  • Kubainisha maana ya Uislamu, na kutaja nguzo zake, kisha kubainisha tofauti kati ya Uislamu na Imani na Ihsani, kisha kutaja ukamilifu wa Imani na mambo yake, na kwamba Imani ni ktk Amali njema na kwamba inazidi kwa kufanya mema na hupungua kwa kufanya maasi.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu