• Kijapani

    NI upi Uislamu kwa ufupi: Maneno mafupi yenye kueneo kuhusu maana ya dini ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake na mazuri yake na malengo yake. kwa hakika niufunguo kwa mwenye kutaka kuufahamu Uislamu na kuingia.

  • Kijapani

    Nguzo ya Dini ya Kiislamu: Makala imechukuliwa nakutafsiriwa kutoka ktk kitabu Mukhtaswaru Fiqhul-Islam cha Sheikh Muhammad bin Ibrahim Tuwaijiry, Inabainisha ya kwamba Uislamu ni muongozo na Rehma kwa ulimwengu mzima, ni zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa watu wote, katumwa nao bwana wa Mitume, na wamwisho wa Manabii, na Umati wake ukawa bora kwa kazi hii hadi siku ya Qiyama.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu