• Kitabu kimetafsiriwa kwa lugha ya Kingereza kikielezea maana fupi ya Dini ya Uislamu na kubainisha kuenea kwake kwa kila nyanja za uhai na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • Kitabu kwa lugha ya Kingereza kikielezea Maswali (40) kuhusu Uislamu, kutokana na utata kuhusu Uislamu.

 • Amegundua Uislamu Kingereza

  Amegundua Uislamu: Dalili kwa ufupi kuhusu Uislamu na mafundisho yake na kubainisha itikadi ya Uislamu, na kuubainisha Uislamu kwa ufupi, pia nasaha kwa Waislamu na wasiokuwa Waislamu, kwa kufuata njia za wema walio tangulia ktk Umma huu.

 • Maana ya Uislam Kingereza

  Maana ya Uislam: Maneno mafupi na yenye kueneo kuhusu maana ya dini ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake na mazuri yake na malengo yake, ni funguo kwa mwenye kutaka kufahamu Uislamu kwa usahihi.

 • Injil ndio ilio niongoza ktk Uislamu: kitabu Kitakatifu muhimu kinataja vipengele vya kumuashiria Nabii Muhammad (s.a.w), na kumzungumzia Nabii Mussa (s.a.w), na Nabii wa Mwisho. kisha kuonyesha ya kwamba Nabii aliyo ashiriwa ni Muhammad (s.a.w).

 • Huu ndio uhakika Kingereza

  Huu ndio uhakika: Kitabu hiki kinazungumzia elimu ya kisasa kwa mtazamo wa Qur-ani Tukufu na Sunna sahihi.

 • Uislamu ndio chaguo letu: Kitabu hiki yatakiwa mazingatio kuhusu mafundisho ya Uislamu, na kuonyesha uhakika kutokana na tuhuma dhidi ya Uislamu kama ni Ugaidi na kuuchukia, na kwamba umemdhulumu Mwanamke na kumnyima haki zake.

 • Maana ya Uislam Kingereza

  Maana ya Uislam: Kitabu hiki chatakwa mazingatio kunamafundisho kuhusu Uislamu, na kufichua yanayo semwa sana na maaduwi dhidi ya Uislamu kama niugaidi na kuuchukia na kwamba umemdhulumu Mwanamke haukumpa haki zake na mengi zaidi miongoni mwa tuhuma dhidi ya Uislamu.

 • Kitabu hiki kinawafaa wasiokuwa Waisilamu, kinatoa elimu kuhusu Uislamu na Waisilamu na baadhi ya Miujiza iliyo thibiti ktk Qur-ani na Sunna.

 • Grupu hili laelezea visa mbali mbali vya walioingia ktk Uislamu.

 • Uislamu nai dini ya Amani: Kinazungumzia kitabu hiki mada muhimu sana, nayo ni ufahamu halisi wa Uislamu kutokana na uadilifu katika jamii, na kupiga vita dhulma, ndiyo msingi wa kusimamisha amani katika nchi.

 • Uislamu kwa ufupi Kingereza

  Muongozo ktk kuujua Uislamu kwa lugha ya Kingereza kwanjia ya maswali na majibu kwa njia nzuri na yenye kukinaisha, maswali mbali mbali yanayo ulizwa sana na wasio kuwa waislamu.

 • Dini sahihi Kingereza

  Kitabu hiki kinaelezea sherehe kwa kifupi kuhusu dini ya kiislamu, na kwamba ndio dini sahihi hato kubali Mwenyezi Mungu dini nyingine, kuelezea dini nyingine na vyanzo vyake na kubainisha ubatili wake. Uhakika wa Issa na Mama yake (s.a.w) Dini ya uislamu ni dini ya dunia na hikma yake na kuumbwa majini na binadamu.

 • Kurejea : Bilal Philips

  Uislamu ni dini ya maumbile: Uislamu ni usafi yatakiwa mtu akate kucha, kupunguza masharubu, kuacha ndevu, kuondoa nywele za kwapa, kunyoa sehemu ya siri, kupiga mswaki, kitumia manukato, kukata sunna, nk...

 • Uislamu ni... Kingereza

  Uislamu ni: Kitabu kizuri sana kaelezea mtunzi kwa ufupi maana ya Uislamu, na kuelezea ya kwamba ndiyo dini sahihi, na dini pekee inayofaa kufuata.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu