• video-shot

  Mada ya kuona kwa lugha ya Amhari ikielezea kuwa na malengo katika huu Uhai, malengo yako yatakupelekea kuwa na uchangamfu na kuwa juu kwa sababu hiyo yafaa kwa kila Muislamu yawe malengo yake ya hali ya juu na mazuri kwa hilo mwanadamu atanyanyua nafsi yake.

 • video-shot

  Video kwa lugha ya Amhari ikielezea makusudio katika uhai huu. kujua malengo yako yatapelekea kuwa na uchangamfu na kwa maana hiyo yatakiwa kwa kila muislamu awe na malengo ya hali ya juu.

 • video-shot

  Muhadhara kuhusu kusilimu wamagharibi anaelezea sababu ya kuingia wengi katika wanachuoni wa kimagharibi katika Uislam.

 • Uislamu ndio dini peke anayo iridhia Mwenyezi Mungu kwa viumbe vyote na hato kubali dini nyingine tofauti na hiyo, na ndio dini inayo weza kuondoa matatizo yaliyopo duniani, katika kitabu hiki tutaeleza badhi ya mambo katika nguzo za uislamu na imani na yalio ya kheri katika uislamu.

 • Uislamu misingi yake na vyanzo vyake: amesema mtunzi Allah amuwafikishe: nimejaribu kuelezea kwenye kitabu hiki kwa ufupi maana ya uislamu na misingi yake mikubwa na yanayo takiwa katika kulingania ndani ya uislamu.

 • Taarifa fupi kuhusu Uislamu: taarifa fupi kuhusu Dini ya Uislamu na kubainisha ueneaji wake katika nyanja zote za maisha pamoja na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu