• video-shot

  Ubora wa Uislamu-3 Kifaransa

  Muhadhara kwa lugha ya kifaranca, nao ni wa tatu katika mtiririko wa mihadhara ilio tafsiriwa kuonyesha ubora wa Uislamu, ameutowa Sheikh: Khalid bin Abdurrahman Shaiya kando kando ya mji wa paris.

 • video-shot

  Ubora wa Uislamu-2 Kifaransa

  Muhadhara kwa lugha ya kifaranca, nao ni wa pili katika mtiririko wa mihadhara ilio tafsiriwa kuonyesha ubora wa Uislamu, ameutowa Sheikh: Khalid bin Abdurrahman Shaiya kando kando ya mji wa paris.

 • video-shot

  Ubora wa Uislamu-1 Kifaransa

  Muhadhara kwa lugha ya kifaranca, nao ni wa kwanza katika mtiririko wa mihadhara ilio tafsiriwa kuonyesha ubora wa Uislamu, ameutowa Sheikh: Khalid bin Abdurrahman Shaiya kando kando ya mji wa paris.

 • video-shot

  Hatua za uhai Kifaransa

  Video imefanyiwa tarjama kwa lugha ya Kifaranca, inaelezea hatua za kuumbwa mwanadamu kama ilivyo kuja katika Qur-an Tukufu.

 • Swali kalijibu Sheikh Muhammad Swaleh Munajjid- Allah amuhifadhi, linasema: (Uislamu ulianza lini? na kuna muda gani kati ya Nabii Issa na Muhammad (s.a.w), ).

 • Muhadhara huu wamuelezea Nabii Muhammad (s.a.w), na tabia zake na nafasi yake kwenye nyoyo za Waislamu na ulimwenguni kote. na kubainisha hakika ya Mtume (s.a.w), kwa wasiyokuwa Waislamu, kama zinazo fanyika mbinu mbali mbali kumtia kasoro. kaelezea mtowa mada kuhusu huruma yake na kusamehe kwake na uadilifu wake na tabia yake (s.a.w), na kabainisha njia sahihi ya kumuiga ktk kuondowa matatizo ktk jamii.

 • Kwa nini nimechagua uislamu? Kisa cha kweli cha kusilimu Mmoja ktk mapasta.

 • Huu ndio Uislamu kwa ufupi: Maneno mafupi yaliyo enea yakizungumzia Dini ya Uislamu misingi yake na nguzo zake na mazuri yake na malengo yake, nakubainisha namna ya kutawadha na swala, ni ufunguo kwa mwenye kutaka kufahamu na kuingia ktk Uislamu.

 • Ujumbe wa Uislamu Kifaransa

  Kitabu hiki kwa njia ya audio kinaweka wazi itikadi sahihi ya Uislamu ambayo Mitume (s.a.w), wote wameilingania, na kuwabainishia wasiokua waislamu namna ya kuingia katika Uislamu.

 • Haki ktk Uislamu Kifaransa

  Kwa hakika binadamu akifahamu mali zake na haki zake na yaliyo wajibu kwake ktk haki za Mwenyezi Mungu na haki za waja ni bora kwake, na kuyafanyia kazi nikatika mambo muhimu naya wajibu, muhadhara huu waelezea haki hizo kwanjia ya Audio.

 • Kisa cha kweli kabisa cha mtu aliekua anatafuta haki, kutoka mji kwenda mji mwengine, na kutoka ktk dini kwenda dini nyingine, hadi alipo pata dini ya kweli, kisa kizuri sana cha kusisimua, ndani yake kuna elimu tele inayoweza kukusaidia kuijua haki, muhadhara unafaida unawahusu wasiokuwa waislam.

 • Kwa nini uislamu? Kifaransa

  Makala ikielezea maana ya Uislamu na malengo ktk uhai.

 • Ni nini Uislamu? Kifaransa

  Makusudio ya mlolongo huu ni kuelezea maana ya uislamu: ni zipi nguzo zake na vyanzo vyake? na asili ya mlolongo huu umechukuliwa kutoka katika kitabu (Mafunzo ndani ya Qur-an) sheikh Swaleh bin Fauzan Al-fauzan Allah amuhifadhi.

 • Ujumbe kwa ufupi unazungumzia ushahidi mbali mbali wa ukweli kuhusu Uislamu na Qur-an Tukufu na Mtume mwema, na historia yake na utawala wake, kutoka kwa wasiokuwa waislamu, wakiwemo wanasiasa, washairi, wasomi, askari, wanamume na wanawake, na wale waliyoingia katika uislamu.

 • Kuingia katia uislamu: Mtunzi kaandaa kipeperushi hiki kuwa njia ya kuingia katika Uislamu, kwa kuelezea maana ya Uislamu kwa ufupi na mema yake na ubora wake.

 • Uislamu ni dini ya maumbile: Kitabu hiki kinawafaa wasiokuwa Waislamu, kwa sababu kinataja utukufu wa Uislamu na namna ya kufika katika haki kwa kutumia akili safi.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu