• Malengo katika uhai huu: Yatakiwa binadamu ajitambuwe ya kwamba kaletwa hapa duniani na Mwenyezi Mungu lengo kubwa nikufanya Ibada...

  • Dini sahihi Polish

    Mwandishi : Bilal Philips

    Kitabu hiki chazungumzia maana ya dini ya uislamu kwa ufupi, na kwamba ndio dini sahihi Allah hakubali dini kinyume na hiyo, akaelezea dini nyingine na kuonyesha ubatili wake, na ukweli kuhusu Issa na Mama yake (s.a.w), na Uislamu ni dini ya ulimwengu mzima, na hikma ya kuumbwa majini na binadamu.

  • Makala yenye peji 6 ikizungumzia maana ya Dini ya uislamu, na ninani waisilamu, na wanaitakidi kitu gani, na nizipi nguzo za dini.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu