• Kitabu kimefanyiwa tarjama kwa lugha ya Urusi, kinazungumzia kuhusu dini ya uislamu na ubora wake, kinawafaa waisilamu na ambao sio waisilamu, Mtunzi kajibu maswali yanayoenea sana, mfano: kwa nini Allah katuumba? Mitume niwakina nani, na zipi kazi zao? Muhammad niyupi na utamjuaje? ni sifa gani yatakiwa awenazo muislamu? waisilamu wametanguliza nini ktk kuhifadhi dini yao? namengine tofauti na hayo.

  • video-shot

    Video inaelezea jibu la swali: Jee Uislamu ni Dini mpya au ni dini ya Mitume wote?

  • Majibu zaidi ya maswali (40) yanayo kaririwa sana kuhusu Uislamu kwa wasio kuwa waisilamu...

  • Mzunguko huu waelezea maana ya Uislamu, na kuondoa utata kuhusu Uislamu, Mada imetolewa na sh: Abu Omar Zahrani.

  • Katika Uislamu yatakiwa kila mtu apewe haki sawa na mwenzake bila ubaguzi wowote ule wanamume wapewe haki zao na wanawake pia wapewe hakizao kama sheria inavyo elekeza.

  • Uislamu nikujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu na kunyenyekea kwake kwa kufanya yaliyo mazuri na kujiepusha na yaliyo mabaya.

  • Utaingia vipi ktk Uislamu?: Kitabu kinabainisha maana ya uislamu, na kwamba Tauhidi ndio dini ya Mitume, na kinabainisha namna ya kuingia katika uislamu, na kinatoa majibu ya utata kuhusu Uislamu.

  • Ni nini Uislamu?: Kitabu hiki chawafaa wasiokuwa waisilamu, kinatoa elimu kuhusu Uislamu na waisilamu na baadhi ya mambo ya kweli yaliyo thibitishwa na Qur-an na Sunna.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu