Utunzi wa kielimu

 • Kiarabu

  PDF

  Lulu kwa ufupi kuhusu Mazuri ya Dini ya Uislamu: Kubainisha baadhi ya mazuri ya dini ya uislamu, na umuhimu wa mada hii.

 • Kiarabu

  PDF

  Kitabu Misingi ya Dini ya Uislamu cha Sheikh Muhammad bin Sulaiman Tamimy (r.h), kimepangiliwa kwa njia ya maswali na majibu na Sheikh Muhammad Twayib Answary Madany Allah amlipe, kimekusanya kitabu hiki mambo muhimu katika dini ya uislamu.

 • Kiarabu

  MP3

  Msomaji : Mustafa Ismaili

  Msahafu ulio somwa kwasauti ya msomaji Mustafa Ismail ikifuatia maana ya Aya kwa lugha ya kichina, kwa ufanisi wa hali yajuu.

 • Kiarabu

  MP3

  Msomaji : Saad Al-Ghamdi

  Msahafu ulio somwa kwa sauti ya msomaji Saad Al-Ghamdi, ikifuatia kisomo cha Aya kwa lugha ya kichina, na kwaufanisi wahali yajuu.

 • Kiarabu

  MP3

  kisomo kilicho somwa cha Qur-ani Tukufu, pamoja na Tafsiri ya maana yake kwa lugha ya Pashto

 • Kiarabu

  MP3

  Msahafu ulio somwa kwa sauti ya msomaji Mishari Rashid Afasy pamoja na kusomo Aya kwa lugha ya Indonesian, na kwaufanisi wa hali ya juu.

 • Kiarabu

  PDF

  Kitabu chaelezea visa mbali mbali kuhusu badhi ya watu wa falsafa na fani mbali mbali waliyo tangulia na wazama hizi sababu iliyo wapelekeya kuingia katika Uislamu.

 • Kiarabu

  PDF

  Muhadhara mzuri sana wa Sheikh Swaleh bin Abdul-aziz Ali-Sheikh (Allah amuhifadhi), mada yake ilikuwa ni (Huu ndio Uislamu), palikuwa na mambo mengi ndani yake: Huu ndio uislamu katika itikadi na ibada, katika sheria, hukumu za kidunia, tabia, uchumi, mambo ya kijamii, na udugu na kuto tengana, mahusiano nchi kwa nchi, nk...

 • Kiarabu

  MP3

  Kwa hakika kila mwenye roho anataka maisha bora na kujitahidi ayapata, tofauti ni namna ya kuyafikia hayo maisha , na Mwenyezi Mungu kabainisha ktk kitabu chake kitukufu ni nuru kwa mwenye kutaka nuru hiyo, amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: (Enyi mlio amini! Muitikieni Mwenyezi Mungu na Mtume anapo kuitieni jambo la kukupeni uzima wa milele. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu huingia kati ya mtu na moyo wake, na kwamba hakika kwake Yeye tu mtakusanywa). (Al-Anfaal: 24).

 • Kiarabu

  DOC

  Kitabu asili yake ni muhadhara alio utoa sheikh Muhammad Amin bin Muhammad Almuhtar Ash-shanqitwi (r.h), katika muskiti wa Mtume (s.a.w), kaelezea mambo kumi yanayo zunguka dini: 1-Tauhidi. 2-Mawaidha. 3-Tofauti ya matendo mema na mengineyo. 4-Kuhukumu kinyume na sheria ya Mungu. 5-Hali ya kijamii. 6-Uchumi. 7-Siasa. 8-Gogoro la makafiri kuwatawala waislamu. 9-Tatizo la udhaifu wa waislamu na uchache wa maandalizi dhidi ya maaduwi wao. 10-Gogoro la kutofautiana nyoyo katika jamii.

 • Kiarabu

  MP3

  Sherehe ya ubora wa Uislamu cha Sheikh Muhammad ibn Abdulwahab (r.h) kitabu hiki chazungumzia ubora wa uislamu na maana yake na yanayo faa na yasio faa na kuelezea mambo ya bidaa na umuhimu wa kuifuata sunna na mengi tofauti na hayo.

 • Kiarabu

  MP3

  Amesema Sheikh Swaleh bin Abdul-aziz Allah amlipe kheri, kuhusu risala inayo zungumzia ubora wa Uislam kitabu cha Sheikh Muhammad bin Abdulwahab (r.h), kitabu hiki muhimu sana katika vitabu alivyo andika sheikh, kinaelezea ubora wa uislamu, utukufu wake, namna ya kulingania,na kuelezea yanayofaa na yasiyofaa katika dini nk...

 • Kiarabu

  MP3

  Hakika kuhakikisha amani ni katika mambo yaliyokuja na sheria ya Uislamu, na nikatika neema kubwa za Mwenyezi Mungu juu ya viumbe wake, apate amani Muislamu juu ya dini yake, amuabudu Mola wake kwa amani na utulivu, na awe na amani katika nafsi yake na mali zake na heshima yake, na yote hupatikana katika kubainisha sababu zake.

 • Kiarabu

  MP3

  Tafsiri ya maana ya qur-ani kwa lugha ya Malayalam, ikifuatiwa na kisomo cha wasomaji tofauti

 • Kiarabu

  MP3

  Kisomo cha tafsiri ya maana ya Quraan kwalugha ya Kireno chenye wasomi tofauti.

 • Kiarabu

  MP3

  Kisomo cha Quraan tukufu pamoja na tafsiri ya maana yake kwa lugha ya Sri Lanka Sinhala,kwa ubora wajuu.

 • Kiarabu

  MP3

  Msomaji : Muhammad Ayuub

  Msahafu ulio somwa na msomaji Shekh Muhammad Ayubu pamoja na Tafsiri ya maana ya Aya kwalugha ya kingereza.kwa sauti ya Maico wotriz

 • Kiarabu

  MP3

  Uharamu wa kumwaga damu isiyo kuwa na hatia: Muhadhara ulio tolewa Abha 1-8-1433هـ kazungumzia sheikh uharamu wa kumwaga damu bila ya hatia na kuchukua mali zao katika waislamu...

 • Kiarabu

  MP3

  Athari ya tauhidi katika kuleta amani: mkutano ulio fanyika katika muskiti mkubwa riyadh kazungumzia sheikh kuhusu amani duniani na akhera, na kwamba tauhidi na kuwa mbali na yanayo pingana nayo ndio sababu kubwa yakupatikana amani duniani na akhera, na kiwango cha tauhidi ya mja ndivyo atavyo pata amani na uongofu.

 • Kiarabu

  MP3

  Muhadhara: Neema ya uislamu: miongoni mwa mihadhara ilio fanyika katika muskiti mkubwa riyadh nakusajiliwa na kusambazwa sheikh Saidi bin wahfi qahtwany.. muhadhara huu wazunguukia kuhusu neema kubwa aliopewa muumini na Mwenyezi Mungu nayo ni neema ya uislamu na namna ya kuishukuru neema hii.

Ukurasa : 10 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu