Utunzi wa kielimu

 • German

  LINK

  Kuna mada zifuatazo: 1: Ujumbe wa Uislamu ndiyo waliyo kujanao mitume wote. 2: Umuhimu wa Uislamu kuhusu dini nyingine. 3: Kuangalia mambo ya kiitikadi ktk Uislamu. 4: Kuangalia baadhi ya ibada na kubainisha nani Muislamu.

 • German

  PDF

  Kuenea kwa Uislamu: Katika makala hii kuna ubainifu wa Kuenea kwa Uislamu ktk kila nyanja za uhai, na Nabii wa mwisho ni Mtume Muhammad (s.a.w), na Uislamu unafanya kazi kwa kila zama na kila wakati.

 • German

  PDF

  Huu ndio Uislamu kwa ufupi: Maneno mafupi yenye kueneo kuhusu maana ya Dini ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake, na mazuri yake na malengo yake, kwa hakika ni Ufunguo kwa mwenye kutaka kuujua Uislamu au kuingia.

 • German

  PDF

  Kurejea : Bilal Philips

  Kitabu hiki chaelezea badhi ya maswali kuhusu Uislamu na dini yao mengi wanauliza wasiyokuwa waislamu.

 • German

  PDF

  Maana ya Dini ya Uislam: Kitabu hiki kinamuongoza mwanadamu anaetaka kuifikia haki, kwa njia ya ufupi na nyepesi ya dini ya Uislamu.

 • German

  PDF

  Ni nini Uislamu?: Kitabu hiki kinawafaa wasiokuwa waislamu, kinawapa elimu na mada mbali mbali kuhusu uislamu na waislamu ili ujuwe makusudio ya kuwepo katika uhai huu.

 • German

  PDF

  Kitabu hiki kinabainisha maana ya Uislamu, na kwa hakika Tauhidi ndio Dini ya Mitume, na kinabainisha namna ya kuingia ndani yake, na kuna Tafsiri ya suratul Faatiha na suratul Asr na suratul Falaq na suratul Naas, na Ayatul Kursy.

 • German

  PDF

  Haya ni maswali yanayo ulizwa sana kuhusu Uislamu na viambatanisho vyake kwa baadhi ya mambo mfano Masihi na haki za binaadamu na mengineyo.

 • German

  PDF

  Mtiririko wa makala aina Nne zikibainisha Asili ya Uislamu na sheria nyingine za mbinguni, pamoja na kuweka wazi mchango wa Uislamu kuhusu dini nyingine na nguzo za Uislamu.

 • German

  MP3

 • German

  MP3

  Katika kanda hii anazungumzia mlinganiaji wa Almania Baba hamza Beiri faujal kuhusu njia za kuelekea katika uislamu.

 • German

  MP3

  Mada ya sauti ikizungumzia yafuatayo: 1- makusudio katika uhai huu. 2-kwa nini kaumbwa binadamu. 3-vipi tutamjua Muumbaji.

 • German

  PDF

  Makala iliyo tafsiriwa kwa lugha ya kingereza ikibainisha namna ya muislamu anavyo amiliana na vitu hatuwezi kukusanya vyote, lakini dini ya kiislamu peke ndio yenye dhamana kuhusu haki za binadamu.

 • German

  PDF

  kitabu hiki vyaelezea maswali (25) kuhusu uislamu maswali yanayo kariri kariri kila siku. na asili ya kitabu hiki ni kitabu cha kingereza kimebadilishwa badhi yavitu kwenda sambamba na nchi ya Almania.

 • German

  PDF

  Upole ni nguzo miongoni mwa nguzo za Uislamu katika kusimamisha sheria, kuanzia mambo muhimu ya dini nayo ni Shahada hadi kufikia kwenye jambo dogo, kitabu hiki kinazungumzia mambo hayo kwa urefu.

 • German

  PDF

  Maswali saba yaliyo enea kuhusu Uislamu: Makala iliyo kusanya majibu saba yaliyo enea kwenye ndimi za wasio kuwa Waislamu, nayo: 1- Ni nini Uislamu? 2- Waislamu ni watu gani? 3- Mungu ni nani? 4- Muhammad ni nani? 5- Ni yepi mafundisho ya Uislamu? 6- Qur-ani ni nini? 7- Kuhusu kufufuliwa na siku ya mwisho.

 • German

  PDF

  Uislamu ndiyo dini pekee aliyo iridhia Mwenyezi Mungu kwa viumbe wote, na hakubali dini tofauti na hiyo, ndiyo dini inayo weza kuondowa matatizo tunayo ishinayo kwa sasa, kuyafanyia kazi mafundisho yake yanatosha kuleta amani ya milele, Kitabu hiki kinaelezea Ujumbe wa Uislamu wa milele na misingi yake na chimbuko lake, kwa kutolea mifano kwenye nguzo za Uislamu na Imani, na kubainisha mazuri ya Uislamu na hukumu zake, uchumi wake, siasa zake, mwenendo na haki za binadamu katika Uislamu.

 • German

  PDF

  Haya ni baadhi ya maneno yaliyosemwa na wasiokuwa waislamu kuhusu Uislamu.

 • German

  Huu muhadhara umetolewa kwa kubainishwa ya kwamba Muhammad (s.a.w) umekuja utajo wake katika Injil kwa jina lake na sifa zake

 • German

  MP4

  Muhadhara huu umetolewa na kubainishwa ya kwamba nabii Muhammad (s.a.w), umekuja utajo wake na jina lake na sifa yake katika Injil.

Ukurasa : 7 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu