Utunzi wa kielimu

 • Yoruba

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  kitabu hiki kinazungumzia dini ya uislamu kwa ufupi, na kwamba ndio dini ilio sahihi na Mwenyezi Mungu hakubali dini tofauti na hiyo, kuonyesha dini na misingi mingine na kuonyesha ubatili wake, ukweli wa nabii Issa na Mama yake (s.a.w), ulimwengu wa dini ya kiislamu na hikima ya kuumbwa majini ni watu.

 • Yoruba

  PDF

  Kwa nini nimechagua uislamu? Kisa cha kweli alivyo silimu Askofu mmoja.

 • Yoruba

  PDF

  Uislamu na Upanga: kinazungumzia kipengele hiki namna uislamu ulivyo enea duniani, na namna mamilioni ya watu walivyo ukubali kwa nyoyo zao, na majibishano yenye kukinaisha kwenye akili zao kuhusu ulimwengu na aliye Umba, na kuhusu dini na manabii, na siyo kama wanavyosema maaduwi ya kwamba uislamu umeeneya kwa upanga, na mifano kutoka kwa watu maarufu duniani waliyo ingia dini kwa uhuru kabisa na kukinai na kuufahamu uislamu sahihi.

 • Yoruba

  PDF

  Kitabu hiki kimekusanya maana ya dini ya uislamu kwa ufupi

 • Yoruba

  MP4

  Video hii inaelezea namna Uislamu ulivyo piga vita Ubaguzi kati ya viumbe.

 • Yoruba

  PDF

  Haki za binadamu katika uislamu: Hakika Uislamu umedhamini haki za binadamu, na haki za kumiliki, na haki za kujitetea, na haki za kufanya mambo ya dini, na haki za usawa mbele ya kanunu, na haki nyingine tofauti nahizo, makali hii yazungumzia haki hizo kwa urefu.

 • Yoruba

  MP3

  Mada ya Audio kwa lugha ya Yunani kutoka kwenye kitabu kwa nini nimechagua Uislamu, inaelezea kisa cha kusilimu muhubiri aliye kuwa mkristo na safari yake ya utatu mtakatifu kubadilika kwenye Itikadi ya Tauhidi (Mungu Mmoja).

 • Yoruba

  PDF

  majibu ya maswali yanayo enea kwa wasiokuwa waisilamu kuhusu Uislamu: mkusanyiko wa maswali yanayoenea kwenye vichwa vya wasiokuwa waisilamu kuhusu Uislamu, yanajibiwa kwa uzuri sana kupitia Qur-an na Sunna kwa kubainisha uhakika wa dini hii, na kuondoa ufahamu mbovu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu