• PDF

  Kitabu kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Kihindi kikielezea Haki za binadamu katika uislamu.

 • video-shot

  MP4

  Video hii yahusu Kisa cha kuslimu Kohani wa kihindusi, inaelezea sababu iliyo mpelekea kuusoma Uislamu na kuingia, kisha akawa mlinganiaji mkubwa sana.

 • PDF

  Swali kajibu Sheikh Muhammad Swaleh Al-Munajjid -Mungu amuhifadhi- lilivyo: (Nakuomba unifahamishe sehemu gani katajwa Nabii Muhammad (s.a.w) katika Injil? na jee limetajwa jina lake au niishara tu? na nizipi rejea ambazo naweza zitumia kuthibitisha mambo haya? na jee hao waandishi na wenye kufanya tarjama kwa Wakristo wamebadili hilo?).

 • PDF

  Maneno mafupi yaliyo eneo kuhusu maana ya Dini ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake na mazuri yake na malengo yake. kwa hakika niufunguo kwa mwenye kutaka kuufahamu na kuingia ktk Uislamu.

 • PDF

  Hakika Uislamu ni dini aliyo tumwanayo Muhammad (s.a.w), ukikusanya nguzo tano, na wala haikamiliki imani ya mtu mpaka Aamini nguzo hizo na kuzitekeleza, na makala hii yazungumzia nguzo tano.

 • MP3

  Muhadhara wa audio unazungumzia Ujumbe wa Uislamu na misingi yake na haja ya mwanadamu ili aishi ktk jamii yenye amani na nzuri.

 • PDF

  Maana ya Uislam kwa ufupi: Maana ya dini ya Uislam kwa ufupi na kubainisha kuenea kwake kwa kila nyanja za uhai na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu