Utunzi wa kielimu

 • Hungarian

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Kitabu hiki chazungumzia: Maana ya Uislamu kwa ufupi, na kwamba ndio dini sahihi Mungu hakubali tofauti na Uislamu, na kuelezea dini nyingine na vyanzo vyake na ubatilifu wake, Uhakika wa Nabii Issa na Mama yake (s.a.w), Uislamu ni dini ya Ulimwengu mzima na hikima ya kuumbwa Majini na Binaadamu.

 • Hungarian

  PDF

  Uislamu maana yake ni kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu na kunyenyekea kwa kutii yale yote aliyo kujanayo Mtume Muhammad (s.a.w).

 • Hungarian

  PDF

  Kitabu hiki kinaelezea mjadala kati ya Ahmad Diydat na baadhi ya Maaskofu ambao wanafanya ujanja na kukanusha na kupinga Bishara za Muhammad (s.a.w) katika kitabu kitakatifu, pamoja na kupindisha kwao kuna baadhi ya bishara ambazo haiwezekani kupatikana kwa mwengine zaidi ya Muhammad (s.a.w), na kitabu hiki ni zawadi kwa kila Muislamu na kinastahiki kuchapishwa na kutafsiriwa na kusambazwa, kwaajili ya kutafuta Radhi za Mwenyezi Mungu na kujua zaidi uhakika na kusambaza.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu