Utunzi wa kielimu

 • Armenian

  PDF

  Kitabu kwa lugha ya Arminia kinazungumzia namna ya kuingia katika Uislamu, ni muongozo kwa wasiokua waislamu, kwaajili ya kuwalingania katika uislamu, kimeelezea ubora wa uislamu na mtunzi akataja nguzo za uislamu, na akatoa dalili ndani ya Qur-an na Sunna kuhusu hayo.

 • Armenian

  PDF

  Ni nini Uislamu? Kitabu kina peji 50 kinaelezea maana ya Uislamu kwa lugha ya Orminia.

 • Armenian

  PDF

  Kitabu kimefanyiwa tarjama kwa lugha ya Arminia kinazungumzia mada muhimu sana, nayo ni: Maana ya Uislamu kutokana na Uadilifu wakijamii na kupiga vita dhulma ili kusimamisha Amani katika taifa.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu