Utunzi wa kielimu

 • Korean

  MP4

  Kwa hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu kamtuma Muhammad (s.a.w), ili akamilishe tabia njema, na katika video hii kwa lugha ya Koria, inaelezea baadhi ya tabia za Mtume (s.a.w), katika kuamiliana na watu pamoja na familia yake na watoto na wengineo.

 • Korean

  YOUTUBE

  Kwenye mada hii ya video kwa lugha ya Korea inazungumzia Maana ya dini ya Uislamu kwa ufupi.

 • Korean

  PDF

  Ujumbe mfupi ukielezea Makusudio ktk uhai huu.

 • Korean

  PDF

  Ujumbe mfupi kutoka kwa umoja wa waisilamu wa Korea, unaelezea maana ya Uislamu.

 • Korean

  PDF

  Maneno kwa ufupi na yenye kuenea yakielezea maana ya dini ya uislamu na misingi yake na nguzo zake, na mema yake na malengo yake. kwa hakika ni funguo kwa mwenye kutaka kufahamu uislamu au kuingia katika uislamu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu