Utunzi wa kielimu

 • Kireno

  PDF

  Mkusanyiko wa maneno kwa lugha ya Bortugali inataja kitu kwa yalio pokelewa katika Injil kutokana na dalili juu ya ukweli wa Utume wa Muhammad (s.a.w).

 • Kireno

  MP3

  maana ya Uislam: Maneno kwa ufupi na yaliyo kusanya maana ya Uislamu na misingi yake na nguzo zake, na mema yake na makusudio yake, ni ufunguo kwa mwenye kutaka kufahamu Uislamu sahihi.

 • Kireno

  PDF

  Mwandishi : Bilal Philips

  Kitabu hiki cha rangi kinawafaa wasiokuwa Waisilamu, kinatoa elimu kuhusu Uislam na Waisilamu na baadhi ya mambo ya ukweli ya kielimu yaliyo thibitishwa na Qur-an na Sunna.

 • Kireno

  PDF

  Maana ya Uislam kwa ufupi: Maana ya dini ya Uislam kwa ufupi na kubainisha ueneaji wake kwa kila nyanja katika uhai na kubainisha nguzo zake sita muhimu.

 • Kireno

  PDF

  Makala kwa lugha ya Portugal ikielezea mada ya Haki za binadamu katika uislamu kwa mtazamo machimbuko mawili nayo ni Qur-ani na Sunna.

 • Kireno

  PDF

  Majibu (7) kuhusu Uislamu: Makala inajibu maswali (7) yanayo wasumbuwa wasiokuwa Waislamu.

 • Kireno

  PDF

  Hutba ya Ijumaa iliyo wazi kwa kumaliza Shubha juu ya kuenea Uslamu kwa njia ya Upanga

 • Kireno

  PDF

  Kitabu kimefanyiwa tarjama kwa lugha ya Portugal, kaelezea mtunzi maana ya Uislamu kwa ufupi, na kubainisha ya kwamba ndio dini sahihi, na dini pekee yakufuatwa.

 • Kireno

  PDF

  Umeingia vipi katika Uislamu: Katika makala hii kisa cha mwanamke aliye ingia katika Uislamu huko Brazil, anaelezea sababu ya kuingia katika Uislamu.

 • Kireno

  MP4

  Kiongozi wa zamani anaelezea namna alivyo silimu.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu