Utunzi wa kielimu

 • Thai

  PDF

  Makala imechukuliwa kutoka kwenye kitabu Ujumbe wa Uislamu cha Sheikh dk: Abdurrahman Abdul-Hakim Shiha, ndani yake kuna: Uislamu ni Dini ya elimu na ujuzi- Uislamu ni dini yenye uhakika- Uislamu mtu akifanya mema huzidishiwa mara dufu- Uislamu hubadilisha mabaya kua mema kwa wale wenye kutubia kwa kweli- Uislamu unadhamana ya kuendelea mema ya mtu baada ya kufa kwake.

 • Thai

  DOC

  Makala imechukuliwa kutoka kwenye kitabu Ujumbe wa Uislamu cha Sheikh dk: Abdurrahman Abdul-Hakim Shiha, ndani yake kuna: Uislamu ni Dini ya huruma, katika Uislamu hakuna upadiri, na sio dini ya kuipenda dunia pekeyake, bali dunia na akhera.

 • Thai

  DOC

  Makala imechukuliwa kutoka kwenye kitabu Ujumbe wa Uislamu cha Sheikh dk: Abdurrahman Abdul-Hakim Shiha, ndani yake kuna: Uislamu ni Dini ya ushauri kwa mambo yote ya dunia na akhera mambo ya ndani na yanjee- Uislamu ni dini yenye sheria kwa viumbe ili kila mtu apate utulivu na manufaa na mambo yao yaende vyema.

 • Thai

  DOC

  Makala imechukuliwa kutoka kwenye kitabu Ujumbe wa Uislamu cha Sheikh dk: Abdurrahman Abdul-Hakim Shiha, ndani yake kuna: Uislamu ni Dini ya usawa kwa watu wote- ndani ya uislamu hakuna upadiri kama kwenye dini nyingine.

 • Thai

  DOC

  Makala imechukuliwa kutoka kwenye kitabu Ujumbe wa Uislamu cha Sheikh dk: Abdurrahman Abdul-Hakim Shiha, ndani yake kuna: Uislamu ni Dini isiyo badilika kutokana na wakati- Uislamu ni dini inayo endana na zama na wakati- ndani ya Uislamu hakuna ubaguzi- Uislamu nidini iliyo na misingi madhubuti.

 • Thai

  DOC

  Makala imechukuliwa kutoka kwenye kitabu Ujumbe wa Uislamu cha Sheikh dk: Abdurrahman Abdul-Hakim Shiha, ndani yake kuna: Uislamu ni Dini aliyo iridhia Mwenyezi Mungu- Uislamu ndio dini ya mwisho kutoka mbinguni- Uislamu umekamilisha sheria zote zilizo tangulia- Uislamu ndio dini ya ulimwengu mzima.

 • Thai

  PDF

  Makala inayo zungumzia maana ya Uislamu na misingi ya itikadi ya kumuamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake na kuamini siku ya mwisho, kwa ufupi kinawafaa wasiokuwa waislamu.

 • Thai

  MP3

  Muhadhara ukizungumzia maana ya Dini ya Uislamu na dalilizake juu ya kuwepo muumbaji na ukweli wa utume wa Muhammad (s.a.w), na kubainisha uhakika ulio elezwa na Qur-an kuowanisha na elimu ya kisasa, muhadhara mzuri sana unawafaa wasiokua waisilamu.

 • Thai

  PDF

  Kubainisha dalili ndani ya Qur-an ya kwamba Uislamu ni Dini ya wote, na sio ya watu fulani au zama fulani, bali kwa watu wote na zama zote.. yametolewa katika Kitabu cha Mukhtaswar fiqhul-Islam cha Sheikh: Muhammad Tuwaijiri.

 • Thai

  DOC

  Matangazo yanayo elezea Uislamu kwa wasio kuwa waislamu.

 • Thai

  PDF

  Ni nini Uislamu?: Kitabu hiki chawafaa wasiokua waislamu, kinatoa elimu kuhusu Uislamu na Waislamu na baadhi ya mambo ya kielimu ya kweli ambayo yamethibitishwa na Qur-an na Sunna.

 • Thai

  DOC

  Kisa cha kusilimu ndugu Sulaimani Janter Akiti, Kasilimu kwa sababu ya kuowa baadae Uislamu wake ukawa mzuri baada ya kujifundisha dini hii nzuri.

 • Thai

  PDF

  Kisa cha kuslimu ndugu: Shahyd Awun Tym, Kijana alikuwa amezaka ktk ulevi wa madawa ya kulevya, na yakabadilika maisha yake tu baada ya kuingia ktk Uislamu.

 • Thai

  DOC

  Kisa cha kuslimu ndugu Abbas Kibsonji Nun, Aliekuwa akitafuta Mungu wa kweli, anasimulia mkasa wake kabla ya kuongoka ktk Uislamu na namna alivyo tafuta haki kwenye Buudhi kisha kwenye Ukristo hadi alipo ongozwa la Allah ktk Uislamu, na ndio Dini anayo iridhia Allah kwa walimwengu.

 • Thai

  PDF

  Kisa cha kuslimu ndugu Hamza Sanji Sinji Tunji, alikuwa akifanya kazi ya kutengeneza masanamu, anasimulia kisa cha kuokoka kwake na kuingia ktk Uislamu na kupendezwa na mabadiliko mazuri ktk Dini hii na baada ya kumjua kwake Allah na sheria zake tukufu.

 • Thai

  DOC

  Makala hii yaweka wazi ufahamu unao ambatana na haki za binadamu katika uislamu, ni miongoni mwa misingi iliojengwa ktk Uislamu kwa imara kabisa.

 • Thai

  DOC

  Kisa cha kuslimu Dada Imani Afariku kutokea Maksika: Na anaelezea njia yake katika uongofu na kushikamana na Uislamu.

 • Thai

  DOC

  Kisa cha kuslimu Dada Amniya Sulamy Kiongozi wa wanawake ulimwenguni.

 • Thai

  PDF

  Kisa cha kuslimu Dada Ruhani Vantinajonji.

 • Thai

  DOC

  Kisa cha kuslimu Dada Rahma binti Abdallah, Alikuwa nimfanya kazi ktk kampuni moja akaingia ktk Uislamu na akawa ni mwalimu wa wengine wageni ktk Uislamu.

Ukurasa : 2 - Kutoka : 1
Maoni yako muhimu kwetu