-
Kamata ya Da’awah na mafunzo Madina "Idadi ya Vipengele : 23"
Maelezo :T
Ni taasisi ya kiislam inayojihusisha na elimu na da’awah, pia hutafsiri khutba za Misikiti mitukufu ya Makka na Madina katika lugha mbalimbali na kuzitoa kwa waislam duniani kupitia intaneti.