Namna Mtume (s.a.w) Alivyotumia Chombo Cha Kafiri

Namna Mtume (s.a.w) Alivyotumia Chombo Cha Kafiri

Mhadhiri :

Kurejea: Abubakari Shabani Rukonkwa

Maelezo

Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya safari ya Mtume (s.a.w) na Maswahaba (r.a) na jinsi walivyokutana na mwanamke mshirikina akiwa na maji wakayatumia yale katika kumywa na kutawadha.

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu