2- Maisha ya Binadamu Duniani na Akhera

Mhadhiri :

Kurejea:

Maelezo

Sehemu ya pili katika muhadhara kwa anuani: Maisha ya Binadamu Duniani na Akhera, na kwa hakika kaendeleza mazungumzo kuhusu akhera na akataja ya kwamba ndio lengo kuu la Mumini kubwa kama alivyo tahadharisha kuzama katika maisha ya dunia na mapambo yake ili isimuondowe kuitafuta akhera na kufanya matendo kuhusu akhera.

Utunzi wa kielimu:

Maoni yako muhimu kwetu