Kwa nini wanawake wengi wanaingia ktk Uislam kuliko wanamume?

Kurejea:

Maelezo

Katika kipindi hiki ataelezea sheikh Eddie sababu zinazo pelekea wanawake wengi kuingia ktk Uislam kuliko wanamume, na namna walivyo pata uhuru wa kweli na amani ndani ya Uislamu.

Maoni yako muhimu kwetu