عرض المواد باللغة الأصلية

أعلام وشخصيات

عدد العناصر: 153

  • سواحيلي

    مؤلف, مُراجع, عدد العناصر : 75

    Shekh Shahidi Muhammad Zaid: Amehitim masomo yake katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Ni mlinganiaji katika mji wa Mwanza Tanzania.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 42

    Shekh Hashim Rusaganya: Amehitimu masomo yake katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina Nchini Saudi Arabia. Kwa sasa ni katika walinganiaji wakubwa Nchini Tanzania, na ni muongozaji wa Mahujaji wakati wa Hijja.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 41

    Shekh Salim Barahiyani: Amemaliza masomo yake katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. na amehitimu masomo ya Masta nchini Pakistan, nimlinganiaji mashuhuri Kwa sasa ni mlinganiaji katika mji wa Tanga na ni Mudir katika Markaz za Answar nchini Tanzania.- فضيلة الشيخ سالم عبد الرحيم بارحيان، تخرج في جامعة الإمام محمد بن سعود الإسلامية، بالرياض، والماجستير في باكستان، هو مدير مركز أنصار للشباب الإسلامي في مدينة تانغا تنزانيا، فهو من الدعاة المشهورين في تنزانيا.

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 35

    Imamu wa Msikiti wa Makkah

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 31

    Sharifu Abdul Adhwiim amezaliwa Kairo mwaka 1964. Alihitimu kutoka Kitivo cha Uhandisi katika Chuo Kikuu cha Cairo, Idara ya Mawasiliano mwaka 1986.Alipata shahada ya udaktari(PHD) kutoka Canada mwaka 1997. na Nimwalim Msaidizi,Kitivo cha Uhandisi Idara ya Mawasiliano katika Chuo Kikuu cha Cairo, na amechukuliwa kwamuda na Chuo Kikuu cha Marekani,nimuasisi na niraisi wa Bodi ya Ujumbe Association kwa Uhisani.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 36

    Ana juhudi zake katika utafiti wa mafundisho ya itikadi za kishia

  • سواحيلي

    قارئ, مؤلف, عدد العناصر : 29

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 28

    Fares Abbad: Msomaji hodari kwa sauti nzuri, na ni wa asili ya Yemen, karekodi mada ya matini za kielimu kwa sauti ukiongezea Koran kamili, na ni Imam msaidizi katika Msikiti wa Aly bin Abi Twalib katika mji wa Doha katika ukanda wa mashariki Saudi Arabia kanda.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 29

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 27

    Sheikh Abubakar Shatwiry kazaliwa mwaka 1970 م, na ameishi ktk mji wa Jidda, pia ni Imamu ktk Muskiti wa Furqan mtaa wa Nasim Jidda. kisha owa, ana watoto (4), anaitwa Baba Abdurrahman. Masomo yake: Anacho kibali cha Qur-ani Tukufu kwa upokezi wa Hafswa kutoka kwa A'swim kapokea kibali hicho kutoka kwa Sheikh Aiman Rushdi Suwaidi mwaka 1416 هـ Anayo digri ya pili ya Mahesabu ameipata mwaka 1420 هـ.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 27

    Shekh Twaha Sulaiman Bane: Amehitimu masomo yake kitengo cha sheria katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina Nchini Saudi Arabia. Ni mlinganiaji na ni Mudir katika Markaz ya Alharamayn, Dar es Salaam Tanzania.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 27

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 23

  • سواحيلي

    مؤلف, مُراجع, عدد العناصر : 20

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 115

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 16

    Imam wa Msikiti wa Marehemu Abdul Razak Qanbar Ansari - Mtaa wa Nakhil - Dammam

  • سواحيلي

    مصدر, عدد العناصر : 17

    Chama cha aal-na alashab Kuanzishwa kwake:ilianzishwa jumuiya ya aal-na alashab katika nchi ya ufalme wa Bahrain Uamuzi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii No(32) mwa 2006 M. Muono wetu:Kuwapenda watu wa familia ya mtume na maswahaba zake nikatika kumpenda Mtume (Alayhi swalatu wassalam). Ujumbe wetu:Tunafanya jitihada za kusahihisha ufahamu potovu yanayo husiana na mafungamano ya familia ya mtume ilio twaharika na maswahaba zake watukufu. Malengo yetu:Nikusambaza urithi wa familia ya mtume ilio twaharika na maswahaba zake watukufu,kwa yale yanayo endana na cheochao cha juu kwa waislamu. Kuonyesha Mahusiano ya undugu baina ya familia ya mtume ilio twaharika na maswahaba zake watukufu,nakupandikiza apenzi ya kuipenda familiya ya mtume na maswahaba zake katika nafsi za waislam. Kudhihirisha majukumu ya familia ya mtume na maswahaba zake katika kuutumikia uislam,kutokana na kushikamana kwao na Quraan tukufu,na Sunna za mtume (swala Allahu alayhi wasalama) Kukuza mshikamano wa taifa kwa njia imani potofu zilizo wazi katika mawazo ya baadhi ya Waislamu kwasababu ya familia ya mtume na maswahaba zake watukufu. Katika Matoleo ya Jumuiya:Kuwalinda familia ya mtume na maswahaba zake watukufu. Ushindi wa Allah mwenye sifa ya kutoa bure katika kuzungumzia ubora wa familia ya mtume na maswahaba zake watukufu.-

  • سواحيلي

    مؤلف, قارئ, عدد العناصر : 16

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 15

    Shekh Shamsi Ilmi: Ni mlinganiaji kupitia chaneli ya Tv Afrika na Redio Qiblatein Iringa, pia ni Katibu katika taasisi ya Dhinurayni nchini Tanzania.

  • سواحيلي

    مؤلف, عدد العناصر : 15

    Shekh Abdurahmani Muhina: Kasoma katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Imani na Tv Afrika.