• Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 35

  Imamu wa Msikiti wa Makkah

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 31

  Sharifu Abdul Adhwiim amezaliwa Kairo mwaka 1964. Alihitimu kutoka Kitivo cha Uhandisi katika Chuo Kikuu cha Cairo, Idara ya Mawasiliano mwaka 1986.Alipata shahada ya udaktari(PHD) kutoka Canada mwaka 1997. na Nimwalim Msaidizi,Kitivo cha Uhandisi Idara ya Mawasiliano katika Chuo Kikuu cha Cairo, na amechukuliwa kwamuda na Chuo Kikuu cha Marekani,nimuasisi na niraisi wa Bodi ya Ujumbe Association kwa Uhisani.

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 32

  Ana juhudi zake katika utafiti wa mafundisho ya itikadi za kishia

 • Msomaji, Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 29

 • fares Abbad Kiswahili

  Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 28

  Fares Abbad: Msomaji hodari kwa sauti nzuri, na ni wa asili ya Yemen, karekodi mada ya matini za kielimu kwa sauti ukiongezea Koran kamili, na ni Imam msaidizi katika Msikiti wa Aly bin Abi Twalib katika mji wa Doha katika ukanda wa mashariki Saudi Arabia kanda.

 • Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 27

  Sheikh Abubakar Shatwiry kazaliwa mwaka 1970 م, na ameishi ktk mji wa Jidda, pia ni Imamu ktk Muskiti wa Furqan mtaa wa Nasim Jidda. kisha owa, ana watoto (4), anaitwa Baba Abdurrahman. Masomo yake: Anacho kibali cha Qur-ani Tukufu kwa upokezi wa Hafswa kutoka kwa A'swim kapokea kibali hicho kutoka kwa Sheikh Aiman Rushdi Suwaidi mwaka 1416 هـ Anayo digri ya pili ya Mahesabu ameipata mwaka 1420 هـ.

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 27

  Shekh Twaha Sulaiman Bane: Amehitimu masomo yake kitengo cha sheria katika Chuo kikuu cha kiislamu Madina Nchini Saudi Arabia. Ni mlinganiaji na ni Mudir katika Markaz ya Alharamayn, Dar es Salaam Tanzania.

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 26

 • Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 22

 • Mtunzi, Mwenye kufanya Marejeleo, Idadi ya Vipengele : 20

 • Khalid Al Qahtani Kiswahili

  Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 16

  Imam wa Msikiti wa Marehemu Abdul Razak Qanbar Ansari - Mtaa wa Nakhil - Dammam

 • Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 16

 • Shamsi Ilmi Kiswahili

  Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 15

  Shekh Shamsi Ilmi: Ni mlinganiaji kupitia chaneli ya Tv Afrika na Redio Qiblatein Iringa, pia ni Katibu katika taasisi ya Dhinurayni nchini Tanzania.

 • Abdurahmani Muhina Kiswahili

  Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 15

  Shekh Abdurahmani Muhina: Kasoma katika Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Imani na Tv Afrika.

 • M.A.K.KICH Kiswahili

  Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 14

 • Zuberi Athumani Kiswahili

  Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 14

  Shekh Zuberi Athumani: Amemaliza masomo yake katika kitengo cha sheria katik Chuo kikuu cha kiislamu cha Imamu Muhammad Bin Soud Nchini Saudi Arabia. Na ni mlinganiaji maarufu nchini Burundi, pia ni khatwib katika Msikiti wa barabara ya saba Bujumbura Burundi.-

 • Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 22

  Imamu wa Msikiti Mkuu wa Makkah.

 • Muhammad Ayuub Kiswahili

  Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 14

 • Yusufu Abdi Kiswahili

  Mtunzi, Idadi ya Vipengele : 13

  Shekh Yusuf Abdi: Ni mlinganiaji kupitia chanel ya Tv Afrika na ni khatwib katika misikiti mbalimbali mjini Mombasa nchini Kenya.-

 • Mtunzi, Msomaji, Idadi ya Vipengele : 12

Maoni yako muhimu kwetu